I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

Mdingi alikuwa anapenda kumsifu mdogo wangu sana, kama kunipa challenge.

Dogo alikuja kuchaguliwa kwenda Mzumbe form 1 hafu mi niko day mtaani hapo hapo.

Akili ndo ilinikaa sawa, maana A level nilivyopata nafasi ya kwenda boarding nikamwambia tu mzee mwanao ntamshinda form 6, ila form 4 nishapoteza.

Na ndo ulikuja kuwa hivyo, mpaka leo madogo wote mimi ndo anawatumia kwa mfano wakati alikuwa ananiponda mpaka mama anaingilia kati
Haha jamani, wewe ni first born eeh? Au mkubwa kwa wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdingi alikuwa anapenda kumsifu mdogo wangu sana, kama kunipa challenge.

Dogo alikuja kuchaguliwa kwenda Mzumbe form 1 hafu mi niko day mtaani hapo hapo.

Akili ndo ilinikaa sawa, maana A level nilivyopata nafasi ya kwenda boarding nikamwambia tu mzee mwanao ntamshinda form 6, ila form 4 nishapoteza.

Na ndo ulikuja kuwa hivyo, mpaka leo madogo wote mimi ndo anawatumia kwa mfano wakati alikuwa ananiponda mpaka mama anaingilia kati
Congrats man
 
Thanks man.

Ila imesababisha niwe na tabia ya kuponda vitu sana, mara kibao nilikuwa nagombana na washkaji kuhusu kuponda madem zao ni vimeo.

Angalau siku hizi nimebadilika, maana ilinisumbua sana hata kwenye mahusiano, zile mwenzio kavaa anaona yuko vizuri Mimi naponda. Dah.
Duh! Washkaji walikuwa wanakuchukulia huyu mwana niaje??
 
Thanks man.

Ila imesababisha niwe na tabia ya kuponda vitu sana, mara kibao nilikuwa nagombana na washkaji kuhusu kuponda madem zao ni vimeo.

Angalau siku hizi nimebadilika, maana ilinisumbua sana hata kwenye mahusiano, zile mwenzio kavaa anaona yuko vizuri Mimi naponda. Dah.
Hahaa ulikuwa umelemaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijua una kimeo hutangazi, mpaka iwe ni grade hasa.

Ila nilikuja kuacha hizo mambo baada ya mshikaji kuoa demu tulikuwa tunamwita kimeo. Hapo ndo akili ikaanza kuja, maana trashing haitakiwi kwa family members, I real observe that.
Hamna kitu kinauma kama kumkandia mtu mpenzi wake aisee. Hapo yeye kafanya machaguo yote halafu unaona ni kimeo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom