I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

Wanaume huwa hatusifiani kwenye hayo mambo, tunapondana kupeana courage ya kufight.

Vijiweni tulikuwa mpaka tunawekeana hela kwa kusema "Yule humuwezi wewe", basi unatumia mbinu zote mpaka unawaonesha wenzio kwamba wewe ni mkali wa hizo.

Kwa hiyo nina jaribu kupita huko.
Kweli kabisa. I agree with you
 
Siku pekee niliyosifiwa na mzee ni baada ya matokeo ya advance kutoka, maana nilifunika shuleni na centre tuliyokuwa tunaishi. Kwa hiyo dingi watu wakawa wanamsifu mpaka yeye mwenyewe akaniambia hongera. Only that one time.
Hahaha mzee wako alikuwa mgumu kutoa pongezi kama my sister, mimi alinipongeza mtihani wa form four huko nyuma hata ukiwa wa kwanza unaambiwa umekuwa wa kwanza kati ya wajinga na wewe unajiona wa maana hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom