I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

I ain't concerned about your past, our business is from now onwards

Precisely, huwa tunaongeza sana juhudi kuhakikisha tunazima midomo ya haters, na tunajikuta tumefanikiwa.

Nakumbuka mzee wangu hakuwahi kunisifu kwamba nimefanya vizuri darasani, kisa sijawa wa kwanza, nilipokuwa wa kwanza akasema labda nifaulu kwenda sec ndo ataniamini.
Umesema kweli mi o level nilisifiwa sana, advance nilienda bichwa hilo. Matokeo yake......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kwa hiyo hapa kijana ni kwamba unamtia ndimu akomae sio?
Precisely, huwa tunaongeza sana juhudi kuhakikisha tunazima midomo ya haters, na tunajikuta tumefanikiwa.

Nakumbuka mzee wangu hakuwahi kunisifu kwamba nimefanya vizuri darasani, kisa sijawa wa kwanza, nilipokuwa wa kwanza akasema labda nifaulu kwenda sec ndo ataniamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu kila kitu atakileta siyo!!
But just wish them the Happy Ending.. You never know[emoji23][emoji23][emoji23]anaweza kuwa dada yako ndiyo kadondokewa[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume huwa hatusifiani kwenye hayo mambo, tunapondana kupeana courage ya kufight.

Vijiweni tulikuwa mpaka tunawekeana hela kwa kusema "Yule humuwezi wewe", basi unatumia mbinu zote mpaka unawaonesha wenzio kwamba wewe ni mkali wa hizo.

Kwa hiyo nina jaribu kupita huko.
 
Umesema kweli mi o level nilisifiwa sana, advance nilienda bichwa hilo. Matokeo yake......

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku pekee niliyosifiwa na mzee ni baada ya matokeo ya advance kutoka, maana nilifunika shuleni na centre tuliyokuwa tunaishi. Kwa hiyo dingi watu wakawa wanamsifu mpaka yeye mwenyewe akaniambia hongera. Only that one time.
 
Back
Top Bottom