I am addicted to sex

I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Hakuna atakayekudhihaki... Iyo ni kawaida yenu hata kabla haujatuambia tulikua tunajua unapenda kubamizwa...

Ni jambo jema tu.. Furahia maisha..
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
I can help but not here
 
Ukitaka kubadilika inabidi ubadilishe mfumo wako unavyoishi kila siku. Hapo ndio kuna siri ya mabadiliko.

Katika masaa 24 ya siku, unaweza kuniambia effectively hayo masaa unayatumiaje. (Nataka kujua gap)

Rafiki/marafiki wako wa karibu wanapenda sana tabia hizo/ au mara nyingi wanapendelea kupiga stori za mapenzi mapenzi (badilisha marafiki).

Jifunze vitu vipya na kubadilisha mazingira mapya tofauti na ulivyozoea. Mfano kama unapendelea kusoma thread za jukwaa la mapenzi na kwenye social media inabidi upunguze na ikiwezekana usome/ujifunze vitu tofauti na mada/stori za mapenzi.

Kipindi cha mabadiliko kinaumiza, (inabidi uwe mvumilivu) lakini matokeo ya baadae ni bora.

Badilisha mtazamo wako, utabadilika
 
Kuna vijitu humu vinajikuta vimalaika kinoma hasa kwa mwanamke kuzungumza hivi. Nataka niwaambie jambo moja kama mlikuwa hamjui, hiyo hali inategemea na mtu na mtu na kila mtu ana uwezo wake wa kuhandle mambo tofauti tofauti iwe kihisia nk.

Dada hilo sio tatizo wala upungufu wa chochote, ndivyo ulivyoumbwa. Acheni unafiki nyie watu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom