Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Welcome back bro,! next time learn to be a man!!
ukiona nyani kazeeka ujue amekwepa mishale mingi,mi bado sijafikia uzee na mishale hii ndio inanifunza,yote tisa,kumi ! Need charminglady
Hahahahahhahahah
chitchat pananoga saasa
welcome back!
Sipati picha!
Judgement worry not about,...i need only charminglady to love meMamma yangu!
Read this :-
" When the Cat's away the Mice do play ! "
And
" When all speak, none hears ! "
ni hayo tu !
charminglady nikikwambia Nakupenda ujue namaanisha hata kama tayari unamimba nipo tayari kulea mimba ya mwanaume mwenzangu,what i want is to own you...njoo mama,njoo unitulize roho
Huyo mpen zi wako ameshachukuliwa na papaa Bishanga na ndo karibia itajibu.
Nipe kianzio.
Naomba Niwe Dalali Wako Ktk Mchakato Mzima Wa Kumrudisha CL Kwako.