I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

karibu sana...nina hamu na huko...
unaweza kunionesha njia weye...
 
Naona kuna mwanaume anataka kunishika sharubu zangu...walah mnaotaka kuharibu ndoa ya binti yangu wote nitawapiga Zongo
 
hahahhaha wakati ndio sasa umerudi kwa mikwara, sasa unataka urudiane na mke wa mtu au? nimemwambia alter ego wako Ruhazwe JR akipe salamu, mama watoto charminglady hebu njoo akuone tumbo lilivyo kubwa

achana nae huyo hubby, km vp mwoneshe cheti cha ndoa ndo aami ni. kwa taarifa yenu ndoa tumeshafunga kimya kimya na sasa nimeanza maternity leave make nakaribia kumpata 1st born wetu. njoo huz nkumbatie
 
Last edited by a moderator:
Naona kuna mwanaume anataka kunishika sharubu zangu...walah mnaotaka kuharibu ndoa ya binti yangu wote nitawapiga Zongo

daddy achana na huyo kibaka, je ushawahi kumwona anakuja hm hata kwa kujipitisha? we ngoja tuje tumwoneshe na picha za haruc na cheti cha ndoa ndo ataamini. thn tutamfungulia mashtaka kwa kunichafulia jina kuwa me mkewe while hana evidence!
 
Back
Top Bottom