BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
mke mwenzangu mtanange ndio umeanza, hebu tukae seats za mbeleeeee, nimemtuma popcorns hubby anakuja nazo.
karibu sana, ndiye mimi haswaaaaaaaa! mzima wewe??
Wasalamu,
Nimekuja kutokea kifungoni,....nisingependa kueleza machungu ya huko kwani sitayaweza yamaliza,isipokua mwenye swali aniulize ntamjibu. charminglady kipenzi changu usinipenda hata kwa dawa,naomba unipokee walau hata kwa dk kadhaa kisha ndo uende kwa kile kitoto C6 ,ingawa bado umepotea kupenda house boy wangu kwa lengo la kunikomoa bado ntazidi kukupenda mpaka kufa.
nitoe shukurani kwa St. Paka Mweusi , Madabhali Jnr na wengine wote wenyenia ya dhati na kutamani siku moja kuniona niko charminglady .Cl Bado nakupenda,ntakupenda na sitaacha kukupenda.Nipokee charminglady BADO NAKUITAJI
Dah... mie nami ni mfukunyungu aiseeee....
Kumbe kuzunguka kwoooote ni wewe daaahhh..... 😕 😕 😕

Aiseeeee!
Sijakusoma mamaaa charminglady
hahahhaha wakati ndio sasaumerudi kwa mikwara, sasa unataka urudiane na mke wa mtu au? nimemwambia alter ego wakoRuhazwe JR akipe salamu, mama watoto charminglady hebu njoo akuone tumbo lilivyo kubwa
Hivi hapa Charmy pakojepakoje! Mbona sielewielewi kinacho?
mie nahisi nimeelewa kama wewe tu patna...halafu huyo Wakti ndio sasa alikua king'ag'amizi
Dah jamaa alikuwa anatumia IDs mbili kwa watati huo.
Sasa hivi humu jamvini niamini mimi tu patna . . teh!
Kuona naona, Da'Kilawalawa but maruweruwe 70% kwa straight recognize 30% !