I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!


Nimekukubali, sasa nikupongeze na nikupe lizawadi lipi liendanalo na muafaka wa muda huu ?
Nena chochote upewe!
 
Nigee vocha niongezee bando.

Kiswahili kweli bado shughuli ! Unaambiwa chagua zawadi , unachagua takrima!
Haya utanizungushia nambari kwa mlango wa Peter Mizengo.
 

hahahahaha. JF is never boring.. Source: The Boss
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wakati ndio sasa ndo Ruhazwe JR? Zile hasira za kukataliwa zisiwe chanzo cha kumnyima charminglady zawadi zake za Miss Chitchat. Apate zawadi zake kama ilivyoahidiwa.
 
Last edited by a moderator:
Judgement bado hujaelewa tuuuuu????? yan jana baada ya kugundua hii issue nilicheka mpaka machozi.....
 
Last edited by a moderator:
mie na wewe ni kama kurwa na dotto.....

Dah jamaa alikuwa anatumia IDs mbili kwa watati huo.
Sasa hivi humu jamvini niamini mimi tu patna . . teh!
 
Kumbe ndo maana!! Miss chitchat charminglady ushapewa zawadi yako? Hilo neno alosema Nicas Mtei hapo juu liangalie kwa jicho la tatu utaona lina ukweli ndani yake. Afu ngoja nitarudi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…