Anatamani irudi enzi ya nuhu na safina simply coz anampenda kaka yake hiyo sekeseke ya mvua siku 40 nani anaitaka?haya mafuriko ya siku mbili joto lake tumeliona hapana hizo wishes zako zibakie kutamani na kusadikika.
Utafurahi ukijaaliwa watoto wakiume na wa kike waje waoane ili uone dunia ipo fair? Wacha upuuzi snap out of hiyo fantacy ya kijinga. Na ukiendekeza matamanio utaishia pabaya. Nakushauri uzidishe maombi ikibidi ufunge
Aisee! Yaan shetan na ukarakara wake wote lakn ameshindwa kukifikia kizaz hiki cha sasa .... Dada unachokiwaza kwa kakaako hata shetan ambaye ni manager wa madhambi anakushangaa