I am in love with my brother

I am in love with my brother

Anatamani irudi enzi ya nuhu na safina simply coz anampenda kaka yake hiyo sekeseke ya mvua siku 40 nani anaitaka?haya mafuriko ya siku mbili joto lake tumeliona hapana hizo wishes zako zibakie kutamani na kusadikika.
 
Utafurahi ukijaaliwa watoto wakiume na wa kike waje waoane ili uone dunia ipo fair? Wacha upuuzi snap out of hiyo fantacy ya kijinga. Na ukiendekeza matamanio utaishia pabaya. Nakushauri uzidishe maombi ikibidi ufunge
 
Muulize mama kama Kaka ni mtoto wa Baba yako kikweli kweli.
Usije kuta Mzee/Baba kabambikiwa Mtoto au na kinyume chake/wewe.
 
Kuna kuwa na akili na kuna kutumia akili...

Kuna kuwa na matatizo ya akili na kutokujua una matatizo ya akili...

Binti hauishi wakati wa Adam wala Yakobo wala yoyote uliyemtaja...

Kila nyakati huwa na utaratibu wake kwa ratiba ya Mungu...

Sheria tu ya Tanzania inaelezea kuwa ni jinai kwa mtu na umbuye kulalana...
 
Pole sana dada. Usithubutu kumueleza. Mi nashauri with time hilo jambo litaisha. Ni siala la muda, kuwa mvumilivu.
 
Tamthilia na muvi zinawaharibu sana...unahitaji viboko hamsini kasoro viwili kulitoa pepo hilo ndani yako
 
Thats not normal dogo, you have evil spirit iside you ...what you need is maombezi na kufunguliwa
 
Aisee! Yaan shetan na ukarakara wake wote lakn ameshindwa kukifikia kizaz hiki cha sasa .... Dada unachokiwaza kwa kakaako hata shetan ambaye ni manager wa madhambi anakushangaa
 
Amanda Lynn

ni pm tu ndugu yangu mi nitaondoa hiyo mawazo yote mbofu mbofu na kuleta mawazo mpya.just pm
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaumwa sema hujui kama unaumwa! U mgonjwa kabisa...
 
Back
Top Bottom