I am in love with my brother

I am in love with my brother

It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.

He is so cute yaan nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake. Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo, sasa anataka kuoa ndo ananimaliza kabisa.

Angalia hiyo red. Hapo tu ndio panapokuchanganya. Tafuta kijamaa handsome kishenzi hata kwa kukigharamia. Kiwe kinajua mapenzi hasa kwenye 6x6 utamsahau kakio.
 
Sikiliza binti acha kujiendekeza!!mapenzi na kakaako??Inabidi utafute sehemu upeleke huo upendo wako na uondokane na akili za kishetani mfano egamizia upendo wako kwa mpenzi wako.Nakushauri pia uongee na mtu unayemuamini kwasababu utakuwa na assurance huwezi kuvuka mipaka iliyowekwa kati ya udugu wenu.Jaribu kukemea fantasy ulokuwa nayo haiwezekani kuwa real its just a fantasy ait!!!
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.

He is so cute yaan nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake. Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo, sasa anataka kuoa ndo ananimaliza kabisa.

You always smoke weed and so your brain always suffers. You also smoke cigarrettes, making your lungs suffer. You also don't spare your liver by taking alcohol daily.

Now you are the same person torturing your heart by falling in love, moreover with your BROTHER....!!!

You need immediate medical and divine intervention.
 
Ni mwehu pekee atae mpenda kimapenzi mtu aliezaliwa nae tumbo moja Baba Mmoja Mama Mmoja.
 
Nenda kaombewe hiyo roho ipate kushindwa kwa jina la Yesu. Peleka hiyo shida kwa Mungu. Hawezi kushindwa kui handle kamwe!

It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.

He is so cute yaan nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake. Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo, sasa anataka kuoa ndo ananimaliza kabisa.
 
Halafu ukae ukijua mapenzi yanatokana na kujiendekeza. In other words, ni decision. Unaweza ku decide kuwa au kutokua na mtu fulani kwa ku fantasize, kama wale wanaooenda ma celebrity (delusions of love) kuna wanao endekeza mahusiano kwa kuamua kumpa mtu nafasi ya kuwa naye,mostly kwakua kuna kitu wamevutiwa nacho wengi wetu tuna angukia hapa na pia kuna ku abort hisia ulizo nazo hata baada ya kuwa umesha fall in love. M.f umeshtukia kuwa ulikua unampenda ni criminal ungefanyaje?
 
Ni laana kuoa au kuolewa na Ndugu wa tumbo moja. Huyo Rebeca unae mtaja wewe alikua binamu yake Isack.
 
Dah... Mshaurini basi mwenzenu aondokane na hiyo dhambi. Matusi na kejeli hazitamsaidia.
Mdogo wangu, umejitahidi japo kuliweka jambo hili wazi, hiyo ni hatua moja. Sasa jitahidi uone kosa lako then fanyia kazi. Pole sana kuwa na fantasy kwa umbu lako.
 
mimi nahitaj kujua ni kakako kivipi? tumbo moja baba na mama? au baba moja mama tofauti, mtoto wa babako mdogo? au wa mamako mdogo? mtoto wa dada, kaka, mdogo wako,
hao woote niliowaorodhesha hapo huwezi kuoa au kuolewa nao, kama ni tofaut na hapo unaweza kuolewa nae au kumuoa, hata kama ni kaka au dada wa mchepuko na baba yenu ni mmoja pia huyo unamuoa na anakuoa! inategemea sasa wewe ni dini gani!!!!
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.

He is so cute yaan nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake. Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo, sasa anataka kuoa ndo ananimaliza kabisa.

Nimesekia dada yangu hata mimi nakupenda tuwasiliane
 
pombe majani, inanywewa hovyo siku hizi!
 
Back
Top Bottom