I am in love with my brother

I am in love with my brother

It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

Unataka ushauri gani labda?
 
Yaani kati ya wanaume wote umempenda kaka yako tu?
Shindwa katika JINA LA YESU!
 
mimi nahitaj kujua ni kakako kivipi? tumbo moja baba na mama? au baba moja mama tofauti, mtoto wa babako mdogo? au wa mamako mdogo? mtoto wa dada, kaka, mdogo wako,
hao woote niliowaorodhesha hapo huwezi kuoa au kuolewa nao, kama ni tofaut na hapo unaweza kuolewa nae au kumuoa, hata kama ni kaka au dada wa mchepuko na baba yenu ni mmoja pia huyo unamuoa na anakuoa! inategemea sasa wewe ni dini gani!!!!

Tumbo moja
 
Duh hiki kizazi nikifananishe na nini? achana na hiyo tamaa ya kutaka ku m date kaka yako yawezekana ukawa na pepo mbaya anayetaka kukuchonganisha na familia yak😵mba sana ili pepo huyu akutoke na usome neno la Mungu na kuchangamana na watu katika shughuli mbali mbali zitakazokufanya uwe busy na kusahau hayo mawazo.
 
Napata wakati Mgumu maana siamini kama hii story yako inawezekana
 
Shetani wa mguu mmoja wewe,unataka kumtumbukiza kaka yako kwenye dhambi isiyoelezeka.
huna hata haya eti "he is so cute"
Na kama unahisi upo sahihi kwanini umekuja omba ushauli humu jf,kwanini usiende kwa mama au baba yako umweleze hilo jambo?nahisi wao watakua na jibu zuri maana hata kaka yako hawezi kukupa jibu.
 
hujampata bado wa kukupagawisha na kukuggd vzr hadi ukasahau kama uliwahi kuwa na filings kwa kaka yako...jiachie hapa jf uone kazi!!!! utamsahau mwenyewe....
 
ha ha haaa, dah, nakumbuka kuna msichani muda kama 2001 hivi alikuwa anaomba ushauri kwenye gazeti kwasababu alikuwa anampenda baba yake mzazi kimapenzi yaani ni nouma
 
co bure ukaombewe mapem kabla hujazama kbs ktk hiyo dhambi ikimbie kadri uwezavyo. ukithubutu hiyoo laan itakula uzao wako kizazi cha kwanza mpaka cha nne hivo zingatia sana.
 
Huyo ni pepo kwakweli!Muombe Mungu akusamehe bure kama binadamu kwa anguko hilo la laana. Mwombe pia akushindie vita hiyo mbaya zaidi kuliko hata vita ya nyuklia!
 


Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

I must say this is an interesting phenomena. Kiukweli I would like to hear it more, u falling in love with ur own brother.
Rebecca alikuwa cousin which is still allowed in some ethnics and religions. In case of children of Adam, well, it had to be that way. Ila kuna vast number of men you'll find interesting duniani kwa sasa. Just don't focus ur attention on your brother.

Pia weka distance kubwa zaidi kati yenu ili 1) Usije ukafanya mtende dhambi 2) Umpe wifi yako nafasi amuenjoy your brother(who will be hers by the law).

Its not because it is an easy way for you that I am telling you this, but because it is the right way.
 
Back
Top Bottom