I am in love with my brother

I am in love with my brother

Imagine your dad fall in love with you
That's your blood brother for God sake
 
Thats purely evil thought
Mchungaji Illovo huyu naye ana pepo gani linalotolewa kwa maombi yapi vile?....
Amanda Lynn

Nenda kanisani ufanyiwe delivarence haraka!!
Kwa mtindo huu kuipata pepo kweli kazi!
Feeling bongo, una laana wewe nenda kajiuze pale Meeda upunguze laana...
Unajua mara nyingi ushauri wa wabongo Wengi huwa hausaidii.
Huyu mtu kasema she is in love with her brother...
Badala ya kushauriwa anaambiwa hiyo ni laana, why?
Anaweza kuwa na laana yes, kwa sasa afanye nini? Wengine mnaleta hadithi za mapepo na kutoana hayo mapepo, Ila Wengi mnajua jinsi watoa mapepo qanavyotafuna vibinti vya watu...
Mimi Naona kuwa hiyo sio normal experience, Ila kwa kuwa jamaa hana feelings na wewe, unaweza kujitahidi kupunguza mawazo juu yake, unajua fantasies huwa zinatuweka zaidi kwenye vifungo vya mapenzi. Wanaume sisi ambao often hatupati wale watu tunaowataka, Basi tunajitosheleza na kujisemea kuwa uzuri wa mwanamke sio urembo... Inatosha kujifariji..
Tafuta namna ya kukusahaulisha, ulewa na uzae, Hapo wanao watakukeep busy na utaona utakavyoanza kuishi kwa. Ajili ya watoto
 
Hivi huko shule ulienda kufundishwa uzwazwa?...wafananisha kipindi cha Babaetu Adam na sasa hivi...mlani shetani..yaani huna hata aibu kuja kutaka ushauri kwa upumbavu huu...ama kweli kiama kimekaribia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Alishakutafuna?
 
Imezuiliwa kisheria.
 
Kwa sasa hapana ila kwa wakati huo wa Adam &Eva, iliruhusiwa....kila zama na taratibu zake
 
Back
Top Bottom