19 records studio
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 421
- 1,085
Njoo tusagane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thats purely evil thought
Mchungaji Illovo huyu naye ana pepo gani linalotolewa kwa maombi yapi vile?....
Kwa mtindo huu kuipata pepo kweli kazi!
Unajua mara nyingi ushauri wa wabongo Wengi huwa hausaidii.Feeling bongo, una laana wewe nenda kajiuze pale Meeda upunguze laana...
Alishakutafuna?It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.
Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.
He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kuuumbeeeeeeNjoo tusagane
Lord have mercy....Njoo tusagane
Hulali jomoni...Lord have mercy....
[emoji87] [emoji87] [emoji85]
Mmh nahisi unatafuta njia ya kutorokea[emoji12] [emoji12][emoji87] [emoji87] [emoji85]
Najaribu tu ila sijawahi.
Nilale mchana?Hulali jomoni...
[emoji51] [emoji16]
Unajaribu nini mkuu?[emoji87] [emoji87] [emoji85]
Najaribu tu ila sijawahi.
Mkuu mambo!![emoji87] [emoji87] [emoji85]
Najaribu tu ila sijawahi.
Imezuiliwa kisheria.It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.