Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 783
Ao sio wanawake mi mifano yetu sisi.. Hao ni wale hata ukimuomba jicho ili kuthibitisha upendo wake kwako anakupa..usitujumuishe na sisi.Hapa sasa ndo naelewa ni kwann kuna watu hawaheshimu wanawake, wanawafanya wapendavyo na kuwaacha wapambane na hali zao