I am looking for a man

I am looking for a man

Dah....angalau umekuwa "mkweli"...kila siku huwa nawashangaa "watafutaji" ....Sifa za mwanaume ni mbili tu...Nguvu za uchumi na nguvu za "misuli"...msijidanganye [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
Kwa hiyo ikitokea hizo sifa zikaondoka wakati maisha yanaendelea nini kitafuata ?
 
siku hizi mkishafungua ID mpya thread ya kwanza ni kuzipa promo ID zenu

promo inayo trend ndio hii ya sakasaka,ID ikishajulikana mnatulizana,endeleeni
 
Mkuu ulifanikisha hili zoezi lako?



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Changanyika na jamii kama kuimba kwaya, misiba nk. ukionekana utajipatia huko wako.

Suala la kipato usilifanye kigezo cha kumkubali mwanaume; anaweza akawa na kazi leo kesho katumbuliwa ikitokea na wewe utamtumbua?
Tatizo huko Kuna masihara
 
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mods kufuta comment yangu ya kumtakia huyu dada jioni njema.


I moved your cheese!
 
Back
Top Bottom