Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 783
Ao sio wanawake mi mifano yetu sisi.. Hao ni wale hata ukimuomba jicho ili kuthibitisha upendo wake kwako anakupa..usitujumuishe na sisi.Hapa sasa ndo naelewa ni kwann kuna watu hawaheshimu wanawake, wanawafanya wapendavyo na kuwaacha wapambane na hali zao
Mi mtu huru wewe tuu na vigezo vyako.
Samahanini wanawakeAo sio wanawake mi mifano yetu sisi.. Hao ni wale hata ukimuomba jicho ili kuthibitisha upendo wake kwako anakupa..usitujumuishe na sisi.
Kwa hiyo ikitokea hizo sifa zikaondoka wakati maisha yanaendelea nini kitafuata ?Dah....angalau umekuwa "mkweli"...kila siku huwa nawashangaa "watafutaji" ....Sifa za mwanaume ni mbili tu...Nguvu za uchumi na nguvu za "misuli"...msijidanganye [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
kuna watu wanakera inabidi hiwe hvy
Ashaanza kupimwa uvumilivuDaaaah we jeuri kweli.. Jinsi unavyojibu ni balaa.. Mwanamke lazima uwe mnyenyekevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasahau kuwa 'bwana wa mtu' yenyewe ni kazi.Mbona kila anaetafuta bwana anataka awe na kazi?
sababu tusiwachukulie poa kirahisi..imagine pesa huna afu nikukute una kibamia afu utaki kuzama uvinza afu uwe na kaufupi flan kakukera yaaan daaah kmmk...naeza rudisha mahari.
Ha ! Ha! Ha!sababu tusiwachukulie poa kirahisi..imagine pesa huna afu nikukute una kibamia afu utaki kuzama uvinza afu uwe na kaufupi flan kakukera yaaan daaah kmmk...naeza rudisha mahari.
Ooh litaniumiza ilo
Dah....[emoji2960]Kwa hiyo ikitokea hizo sifa zikaondoka wakati maisha yanaendelea nini kitafuata ?
Hiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee kazi ipo hapa.kuna watu wanakera inabidi hiwe hvy
Tatizo huko Kuna masiharaChanganyika na jamii kama kuimba kwaya, misiba nk. ukionekana utajipatia huko wako.
Suala la kipato usilifanye kigezo cha kumkubali mwanaume; anaweza akawa na kazi leo kesho katumbuliwa ikitokea na wewe utamtumbua?