I am looking for a true love later to be my husband

Aaaah yani dada ushachelewaaa halafu unaumba mtu apo apo awe tall sijui handsome boi at 30's hb really?unayumba dada punguza machaguo muda ndio ushakipita kama unabisha ayaa
 
Weka wasifu wako hapa,
huku mtaani wako wengi wanataka kuolewa unatakiwa uwazidi vigezo ili ufuzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatamani ungekua mwanamke kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo? I miss you. Usijesema nakuharibia kwa mchumba mi nakusalimia tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani na sisi wa standadi seveni wanawake wazuri kama wewe huwa mnatupa usajili? aah wapi, tunaishiaga kula kwa macho na kuwaida shemeji tu.

Hujambo we limdada litamuu? miss u too my lovely sisy.

-Kaveli-
 
Kumbe uko na sauti nzuri?

Kama umeliona hilo, wewe ni mwanamke makini na unayajua matamu ya nchi. Na ikitokea sauti yangu ikakuimbia, utakuwa ni mwanamke mwenye bahati na kengewa kuliko wanawake wote duniani.

-Kaveli-
 
''Nimezungukwa na mabinti, siwajuwi majina wote mi nawaitwa sweeti... wanene, wembamba.''

Siku hizi nyuzi za kutafuta waume zimekuwa lukuki mitandaoni. Wadada, shida ni nini?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…