Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Umerefuka lini?Sauti ipo Unique, HB nipo average, elimu ipo ya kutosha, Job Ndugai ninae ingawa sio ya kuajiriwa na mtu, Height ni average Age ipo sawa... Kilichobaki ni wewe kuja P.M tu tuyajenge ila uwe na haiba ya Kajala au Irene Uwoya tafadhali. Kama upo ka Ruby au Maua Sama tafadhali usipoteze mda wako...Itifaki kuzingatiwa.