[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ahh kakuvutia sioDada sina desturi ya kuponda wanaotafuta wapenzi ila wewe umenivutia kukuponda
Unatuletea uKenya kitu ambacho tunakipinga, aisee sisi huku HATUKIPENDI KINGEREZA ila wewe unataka kutaghushi tukitumie kwa kuwa tu una mapenzi nacho
Pia kingereza chako duuuhh ni KIIBAYA hakifanani na commands zako
Halafu mimi nimekuponda slightly sana subiri mapovu konki yaje
Best wishes kumpata siriasi, maana mimi siko siriasi
Me they don'tWe who do not know English where we comment?
hiyo english, ni ile ile tuliyosoma wote au huyu mwenzetu anatumia toleo jipya
Is this not a poem?
Mimi nadhani ni shairi.
Sifa za shairi... msanii ametumia Poetic licence where a poet has a right to violate grammar of a language for literary effect.
Pia msanii ametumia mbinu inaitwa Anaphora ambapo verse kadhaa zinazofuatana huanza na neno au clause fulani. Msanii ametumia I NEED kuthibitisha hilo.
Pia aina ya shairi ni Metaphysical Poem ambapo shairi huzungumzia mambo ya kufikirika (angelic features or use of non existing beings to portray beauty) mtaalam wa mashairi ya aina hii anaitwa William Wordsworth mzee wa Daffodils.
Pia msanii ametumia Personification ambapo inanimate objects are given ability and human attributes. Hapa tunamuona msanii ambaye sio binadamu (Unique Flower) is looking for a man (binadamu)
All in all, Msanii aongeze juhudi ya kujifunza lugha ya kiingereza kwa kuwa Literature especially Poetry genre needs a very competent language users. Huwa tunawaita Mahiri wa lugha ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa.
goodIs this not a poem?

Your nationality pleaseEnglish please please.
KenyanianYour nationality please
All the bestKenyanian
wabongo bhana hzo international xkul zenu,haya kaolewe na shuleHere here....
Kenyan.Kenyanian
Aisee [emoji848]Kenyanian
Bro hata wewe hufiti???Mimi hapo kuna vigezo kama 6 sifit kabisa.
1. Lugha
2. Kukaa karibu
3. Elimu
4. Am not serious
5. Am not God fearing man
6. I am not ready for marriage