I am Looking for serious Man

I am Looking for serious Man

Dada sina desturi ya kuponda wanaotafuta wapenzi ila wewe umenivutia kukuponda

Unatuletea uKenya kitu ambacho tunakipinga, aisee sisi huku HATUKIPENDI KINGEREZA ila wewe unataka kutaghushi tukitumie kwa kuwa tu una mapenzi nacho

Pia kingereza chako duuuhh ni KIIBAYA hakifanani na commands zako

Halafu mimi nimekuponda slightly sana subiri mapovu konki yaje

Best wishes kumpata siriasi, maana mimi siko siriasi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ahh kakuvutia sio
 
Im here
i have electrical certificate
22years
menginenian tunanyoshanian wenyewenian
 
Huku kuchamba kwingi mwisho nitashikaga mavi aiseeee......
 
Watu wenye sifa ulizozitaja walishaoa kitambo sana.. wewe na miaka yako 31 ungesema "nahitaji mwanaume yeyote awe mume wangu"
Wenye ubabe wa kuchagua ni miaka 26 kurudi chini
 
Kila la kheri mama mungu akupe hitaji la moyo wako inaonyesha uko sirius hadi miaka halali umeweka maana wenzako huwa wanadanganya
 
Is this not a poem?

Mimi nadhani ni shairi.

Sifa za shairi... msanii ametumia Poetic licence where a poet has a right to violate grammar of a language for literary effect.
Pia msanii ametumia mbinu inaitwa Anaphora ambapo verse kadhaa zinazofuatana huanza na neno au clause fulani. Msanii ametumia I NEED kuthibitisha hilo.
Pia aina ya shairi ni Metaphysical Poem ambapo shairi huzungumzia mambo ya kufikirika (angelic features or use of non existing beings to portray beauty) mtaalam wa mashairi ya aina hii anaitwa William Wordsworth mzee wa Daffodils.
Pia msanii ametumia Personification ambapo inanimate objects are given ability and human attributes. Hapa tunamuona msanii ambaye sio binadamu (Unique Flower) is looking for a man (binadamu)
All in all, Msanii aongeze juhudi ya kujifunza lugha ya kiingereza kwa kuwa Literature especially Poetry genre needs a very competent language users. Huwa tunawaita Mahiri wa lugha ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

Pia kuna enjambment hapo chini alipoweka hiyo 'please' ilitakiwa iishie ktk ule mstari pale.

Nb

Thanks for mentioning Daffodils.
 
Ukifika ule wakati utakaokua tayari kuolewa na yoyote hata mme wa mtu hutajali unitag tafadhali...
 
Is this not a poem?

Mimi nadhani ni shairi.

Sifa za shairi... msanii ametumia Poetic licence where a poet has a right to violate grammar of a language for literary effect.
Pia msanii ametumia mbinu inaitwa Anaphora ambapo verse kadhaa zinazofuatana huanza na neno au clause fulani. Msanii ametumia I NEED kuthibitisha hilo.
Pia aina ya shairi ni Metaphysical Poem ambapo shairi huzungumzia mambo ya kufikirika (angelic features or use of non existing beings to portray beauty) mtaalam wa mashairi ya aina hii anaitwa William Wordsworth mzee wa Daffodils.
Pia msanii ametumia Personification ambapo inanimate objects are given ability and human attributes. Hapa tunamuona msanii ambaye sio binadamu (Unique Flower) is looking for a man (binadamu)
All in all, Msanii aongeze juhudi ya kujifunza lugha ya kiingereza kwa kuwa Literature especially Poetry genre needs a very competent language users. Huwa tunawaita Mahiri wa lugha ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa.
good
 
Back
Top Bottom