I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Acha basi...
 
Hai kutakiwa kabisa mzanzibari kua Rais wa JMT
 
Ulipouandika huu Uzi ilikuwa umeshakunywa mbege Nini?. Wacha kutudanganya ulikuwa huumwi. Bali ulikuwa unafikiria utaingia VP JF baada ya aibu iliyokukuta. Kwani ulitari mengi yatatokea Kwani ulijifanya unajua za ndani za TISS mwisho wa siku kuangukia pua
 
Hapa ninaona umeelewa ndivyo sivyo, hana maana kwamba Wanzazibar wote wameungana na kupanga mipango hii, hii ina maanisha kuna wachache pale juu kabisa kwa kushirikiana na wachache kutoka huko huko ZnZ ndio wanaofanya haya.
 
Kwa hiyo sasa hivi sio kupinga ufisadi na utekaji sasa hivi tunaenda na Uzanzibari na Utanganyika
Hakuna jiwe litaachwa kugeuzwa. Yote ni yetu yote yanajadiliwa and we still FOCUS....
Kila aliyehusika atakinywa kikombe hiki alitaachwa jina hata moja haitaachwa sababu hata moja mpaka dhamira itimie.

FOCUS....
 
Pole sana kaka
Mapambano yanaendelea
Kuwategemea akina Mkunda wanaoendeshwa na TISS na Mzanzibari ni hatari sasa. Eti kwa sasa ndo wanajifanya kuwatafuta wauwaji
 
Vip kuhusu uspika wa Tulia?
 
Father kwa upande wa wananchi hasa vijana Gen Z hatuna Deni kwa 100% Mmebaki ninyi huko mnakula hela nchi yetu ikiuzwa!!
 
Akatuachia na katiba ya kipumbavu kabisa.
 
Tarehe 09, kitawaka Dar itawekwa completely Lock down, Samia hutokuja upate Amani ya Moyo we are coming
HAKIKA MUNGU WETU HATANYAMAZIA HAYA

Askari wenu wanapiga risasi kuwatupa kwenye dimbwi la matope wengine wakiwa mauti lakini wengine wakiwa mahututi. Kisha mnasambaza askari mitaani kukagua simu za watu ili kufuta kila picha inayohusiana na maandamano.

Kama hiyo haitoshi, mnaitumia TCRA na Jeshi la Polisi kutisha watu ili kusudi wasizisambaze picha hizo mkisema ni wakifanya hivyo ni jinai! Mnataka watu waelewe kuwa ninyi mlidungua na kuwaua watu kisha kuwatupa kwenye hayo madimbwi ni wazalendo lakini wanaosambaza picha juu ya unyama wenu ndio wenye kutenda hiyo jinai!

Watu wanahangaika katika mahospitali kwa ajili ya kutafuta miili ya ndugu zao hamuwapi kumbe miingine askari wenu wameitupa huko kwenye madimbwi! Hivi nini kweli mnaabudu katika Mungu wa kweli au mnaabudu shetani?
Hakika kama haya hamtayajutia hadharani kwa kweli ninyi na vizazi vyenu mtapata shida sana na hamtapata wa kuwatetea kutokana na hivi vitendo vya kinyama mlivyowafanyia watoto wa nchi ya Tanzania.

Hamuwezi kustahili kalipio jepesi kutoka kwa askofu linalopungua hili. Jitafakarini haraka na mapema sana kabla kikombe cha ghadhabu cha Mungu hakijaa pomoni.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 9 Novemba 2025; Saa 10:20 jioni
 
Kama Nyerere alikosea Kuhusu muungano na katiba hii,sisi Leo tunakosea mara elfu na zaidi kujitia upofo Amani inaenda kupotea,.. Rasilimali zinamalizwa,huyu Abdul ana ukubwa gani Hadi mshindwe kumtanguliza??Hadi hili tumuachie Mungu??D*ath For Abdul
 
Kwa hiyo sasa hivi sio kupinga ufisadi na utekaji sasa hivi tunaenda na Uzanzibari na Utanganyika
Kuna pattern fulani imejitengeneza, ni ngumu kuipuuzia. Angalia hata kikundi kilichoingia mitandaoni kutetea yaliyotokea na kuwazodoa wananchi, utagundua pia ni walewale wanaosemwa hapa.

As much as we hate it, we can't ignore the elephant in the room!
 
Huenda SAMIMA ametumwa kuvunja muungano ili wajiunge na OIC na makundi mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…