I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Wazanzibari ndiyo watetezi wa haya mauaji.
 
Mzee mnafiki yule, katuachia majanga mengi sana.
 
Hapa ninaona umeelewa ndivyo sivyo, hana maana kwamba Wanzazibar wote wameungana na kupanga mipango hii, hii ina maanisha kuna wachache pale juu kabisa kwa kushirikiana na wachache kutoka huko huko ZnZ ndio wanaofanya haya.
Hivo mnavozungumza ni kama wazanzibari walitangaziwa masokoni kuwa twendeni mkaue watanganyika, lakini sivo hivo
 
Tulishindwa ile tarehe 29, tusahau kabisa kumwondoa Samuya. Ndio kwanza anazidi kupanga kete.
Too late.
 
Tulishindwa ile tarehe 29, tusahau kabisa kumwondoa Samuya. Ndio kwanza anazidi kupanga kete.
Too late.
Ulishindwa wewe ila Umma wa Tanganyika bado haujashindwa, hata uhuru wa Tanganyika haukupatikana siku 1, tutapambana leo, kesho, kesho kutwa mtondo, mtondogoo, wiki na hata mwezi hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma mpaka tufanikiwe.
 
Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.

Somebody must wake up!🥺🧐View attachment 3499404
Hawana wasi wasi tena hao maana wamehakikisha maisha ,familia zao mpk vining'ina vitaishi maisha mazuri..mtu mweusi kumuuza mtu mweusi mwenziwe ni dkk sifuri tu ubinafsi umetujaa
 
Mwenye nchi (mwenye mali) unapewa kamesheni, mgeni (Mzanzibar) anauza mali zako. Kanogewa anataka kugeuza kila kitu kiwe cha wajomba zake Oman.

Palestina ndiyo ilivyokia, wayahudi walivyorudi kutoka uhamishoni waliuziwa ardhi kubwa na wapalestina wengi waarabu, fikiria Mwaka 1945 ilikua Hakuna nchi inaitwa Israel ndiyo mwaka huo ilipoaanza, leo Palestina imebakia strip tu baada ya ardhi kubwa kuuzwa na nyingine kuchukuliwa kwa nguvu.

Hiyo ndiyo kizimkazi & the gang wanataka kufanya.

Ardhi ya lololiondo ya wamasai
Mashamba ya miti ya carbon
DP World
Na sasa hii cleansing
 
7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.

Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.
Duh,
Inasikitisha mno aisee,

Kisingizio ni kuwa hao KMKM walipata fursa ya kulipiza kisasi kwa mauaji ya Wazenji ya 2001 yaliyotekelezwa na askari wa Bara!! Wameua Watanganyika kwa ukatili mkubwa sana

Watanganyika walio kwenye nafasi za kurekebisha haya wamegeuka kuwa machawa wa wahalifu. Sijui wamenunuliwa kwa bei gani..

Kwa kifupi, Tanganyika imekosa wazalendo wa kuitetea
 
Picha tafadhari ya huyu Haji Omar
 
Duh,
Inasikitisha mno aisee,
Watanganyika walio kwenye nafasi za kurekebisha haya wamegeuka kuwa machawa wa wahalifu.
Sijui wamenunuliwa kwa bei gani..

Kwa kifupi, Tanganyika imekosa wazalendo wa kuitetea
Kisasi hua hakifi kinalipwa hata baada ya miaka 10 au 20 au 30 au hata 50 kumbukumbu zinatunzwa tu muda ukifika kisasi kinalipwa,

Nakala moja kwa KMKM
 
CCM wameiuza Tanganyika utumwani Zanzibar .Hivi kweli CCM walikosa Mtanganyika mwanaume wa kuwa Rais wa Tanganyika hadi wakubalu kutoa kafara ya damu za maelfu ya Watanganyika ili mwanamke wa nchi jirani ya Zanzibar aendelee kuitawala Tanganyika ? Inasikitisha sana .
 
Namlaani sana huyu mzee yeye ndio katufikisha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…