I am single again

Sema tu ukweli kuwa umeshindwa kumtawala hicho tu hahahaha. Mimi binafsi ni kama huyo jamaa tulisha kuwa hivi kwa sababu tulisha ona wanawake hamnaga cha zaidi zaidi ya vi k vyenu
 
Kwamba hapa Pana empty set , nidumbukie? [emoji23][emoji23]
Huenda just huenda hakuwa comfortable around you ndo maana marafiki zake wakimuita anaenda kwa haraka na anakuja nao hadi kwa dates zenyu.

Anyway karibu chamani.
 
Unaonekana ni mwanamke mwenye mdomo mchafu na roho mbaya hao marafik hujui wana umuhimu gane kwake na Pengine wao walianza kujuana kabla yako kumjua... Utaendelea kukaa singo hivyohivyo
 
Hii dunia hakika hakuna ambae hana namna yake ambayo haikubaliki na watu wengine, Hivyo ni bora kukubaliana na yaliyopo kuliko kufikiri vitu usivyoviona, Hakuna mkamilifu
 
Umemkuta na kila kitu unachokitaka, unajua kavipateje na hao marafiki unajua mchango wao kwa jamaa hadi kufikia hapo alipo???


Kitu ambacho sikipendi katika mahusiano ni mwanamke kutaka kunibadili niwe anavyotaka yeye.

Umenikuta na wahskaji zangu unajua tumetoka nao wapi?!

Mwisho wa siku hata ndugu zangu utawapiga stop kuingia kwangu, sasa wewe ni mke au matatizo mengine?

Mwache jamaa aendelee kuishi kwa amani, wapo Wanawake wenye uwezo wa kuishi na watu kama hao.

Hajawahi kuambia unamkera kwa kumnyima uhuru??

Mpe mwenzio uhuru kuishi jinsi anavyotaka utapendwa mpaka utajiona Dunia umeibeba wewe, sasa jifanye mtu wa Guidence and Counseling.
 
Unantangazia sasa
 
Hii ni shida
kuna Dada nae aliachwa sababu Hiyo.

akiwa ndani na boyfriend rafiki zake wakioiga anamwacha boyfriend ndani anafuata marafiki,
weekend ni girls day out yaani hatoki na bwana anatoka na mashosti,
alivyoachika tu mashosti wameolewa mmoja baada ya mwingine

kibaya zaidi ex amemchukua rafiki wa one of the girls
 
Pole sana
 
Kuna jambo linalo endelea hapa, maana tangu juzi mnafukuliana mijikaburi..🀣
 
Unaonekana ni mwanamke mwenye mdomo mchafu na roho mbaya hao marafik hujui wana umuhimu gane kwake na Pengine wao walianza kujuana kabla yako kumjua... Utaendelea kukaa singo hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…