Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Umeyumba sister
Hapo sijaona shida kubwa ya kukufanya ukimbie
Hapo sijaona shida kubwa ya kukufanya ukimbie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1] bundle la chuo ?[emoji23][emoji23][emoji23] ...Hali yangu ni nzuri kabisa namshukuru Mungu Mungu.
Ehee mvua jana ilijiunga bundle la chuo[emoji16][emoji16]
Nimefurahi kukuona tena jukwaan baba
Halafu 2021 atakuja jamaa yetu kabisa, atatangaza nia dadeq, atapangiwa mahari ya 3+million. Atawehuka kuzitafuta ili aweke chuma ndani.
I insist, japo nipo nje ya mada, tusitishe mahari jamani.
Baba ako alimplipia mama ako shingap tuanze hapoInsha Allah!! Kwetu mahari sio chini ya $5000 😊
Daah ila ase kuna wanawake wanapitia mambo mengi!! Imagine kuna mwanaume atakuja kuoa kitu kama hichi na kuweka ndani😭😭!! Naendelea kumuunga mkono @Jokajeusi🙌🏻🙌🏻🙌🏻!! Wanaume nakazia tuoe bikraNnavyozidi kufikiria ndo kichwa kinazidi kupata moto. Astaghafiru naskia kutapika.
Anyways alinipa historia yake at one point alikua street kid yani baada ya wazazi wake kufariki alilelewa na aunty yake ambae alikua anamtuma akauze mayai ya kuchemsha stendi. Alikua anashinda huko siku nzima na kurudi home saa 7 usiku. Nikafkiria mtoto mdogo akiishi maisha hayo anakua exposed na vitu vingi.
Sex wise akifanya bila kondom anamaliza ndani ya dakika moja ila akivaa condom ndo afadhali. Sikutaka kumuhoji sana coz I didn't want kumuingilia privacy yake. Plus utamuulizaje mwanaume kama aliwahi kua abused utotoni.
Sex hapendi yani mara nyingi ilikua kama namforce na anaonekana hes not enjoying it.
Too much info 😂😂😂
😀😀😀Hadi sasa harrier inajaa vizuri
Naona malaika wa jua karudi zamu.[emoji1][emoji1][emoji1] bundle la chuo ?[emoji23][emoji23][emoji23] ...
Naam, nimerudi sasa , vipi umeamkaje ?.
Achana nao, embu jibu pm yangu tuyajengeNyokolo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila weweNaona malaika wa jua karudi zamu.
[emoji16][emoji16]
Nimeamka salama kabisa namshukuru Mungu anazidi kututetea.sijui wewe
Kwani ni nani huyo anataka kubatizwa kwa maji na moto?
Kwa moto.Kwani ni nani huyo anataka kubatizwa kwa maji na moto?
Ledada is single??...PM[emoji125][emoji125][emoji125]Huenda just huenda hakuwa comfortable around you ndo maana marafiki zake wakimuita anaenda kwa haraka na anakuja nao hadi kwa dates zenyu.
Anyway karibu chamani.
Single Like Jesus Christ[emoji23] nakungoja huko PMLedada is single??...PM[emoji125][emoji125][emoji125]
😂 😂 😂Hakuna mungu Kama wewe nguruvii ha ha ha ha unaweza ye yey yeee
Madam maombi yamepokelewa naomba tufahamiane zaidi ahsante Sana MUNGU