I am single again

I am single again

Usitufanyie hivyo,

ila ishu za mahusiano bhana ni ngekewa tu kuna bikira ye kaolewa kwa laki 1 tu, ila yule anaejiuza anatolewa mahari mamilioni ya pesa

Nisamehe basi Noelia,

Japo nina mkakati wa kuwa vuvuzela ili mahari isitishwe, haiwezekani mnatufanyia hivi. Kuna vijana hawajawahi kuzifumua bikira halafu leo mnawatoza milioni tano kweli?
 
Nisamehe basi Noelia,

Japo nina mkakati wa kuwa vuvuzela ili mahari isitishwe, haiwezekani mnatufanyia hivi. Kuna vijana hawajawahi kuzifumua bikira halafu leo mnawatoza milioni tano kweli?
Moyo ukidondoka unatoa tu hizo millions tena na nyongeza juu, achana na hii kitu rafiki yangu
 
kwa maelezo yako it seems wewe ndo ulimpenda sana jamaa kwasababu as u have said, alikuwa na kila kitu ulichokuwa unataka kutoka kwa mwanaume, but the problem ni kwamba yeye he wasn't that much into you, alikuchukulia kama mtu wa kupita nae tu not to stay, mwanaume wa hivyo kamwe huwa haoni sababu ya kubadilika eti for the sake of the relationship tena ndo kwanza atazidi kukukera pale utakapojitia eti unakereka na baadhi ya mambo yake au tabia zake, tena ndo kwanza atayatumia hayo hayo yanayokukera kuhakikisha unajiondoa mwenyewe kwenye mahusiano, na ndo kilichotokea. Ila siku atakapokuja kukutana na mwanadada atakamuelewa hata kama hao wakongo wamemrogoa aisee uchawi wote utayeyuka wenyewe maana hamna kitu chochote kinachoweza kushindana na mwanaume alie inlove
 
Kamanzi kaajabu kweli , alafu kanaongea kapo kametuliaa utadhan kanakunywa chang'aa.


Alafu kanajiwahi... "Siwezi kujitongozesha kwa Wanaumee"......

Ili wana wakaone kamtu ,wakakimbilieee huko PM... mwisho wakale , .. Asubuh biashara, jion majesabu.
Umeamkaje leo Doc..😁😁😆😆😆
 
Probably. I was thinking the same labda wamemeroga coz the situation doesn't look Normal. Marafiki zake wote wapo wapo tu hawana maisha yeye tu ndo mambo safi. Anyways mambo ya kishirikina siyapi sana kipaumbele.
Hapo ndipo utaijua nguvu ya Chawa 😂😂😂 !!!

Wakati unapambana kudanga wahuni wanakaza wakanywe bia za bure samaki samaki.
 
Back
Top Bottom