ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Usitufanyie hivyo,
ila ishu za mahusiano bhana ni ngekewa tu kuna bikira ye kaolewa kwa laki 1 tu, ila yule anaejiuza anatolewa mahari mamilioni ya pesa
Nisamehe basi Noelia,
Japo nina mkakati wa kuwa vuvuzela ili mahari isitishwe, haiwezekani mnatufanyia hivi. Kuna vijana hawajawahi kuzifumua bikira halafu leo mnawatoza milioni tano kweli?