I am single again

I am single again

Hali yangu ni nzuri kabisa namshukuru Mungu Mungu.

Ehee mvua jana ilijiunga bundle la chuo[emoji16][emoji16]

Nimefurahi kukuona tena jukwaan baba
[emoji1][emoji1][emoji1] bundle la chuo ?[emoji23][emoji23][emoji23] ...

Naam, nimerudi sasa , vipi umeamkaje ?.
 
By the way,marafiki nao wana umuhimu wake ila sio kwa kiwango hiko....

Sema punguza wivu kdg halafu tuwe wa wazi kama mwanaume hana mda na wewe kwa kiasi kikubwa basi ujue wewe sio umuhimu sana kwake ni dawa hii japo inaweza kukushinda kumeza ila ndo itakuponya...

Kwanza mi nikiwa na mwanamke wangu sitakagi mtu wa tatu,kuna story za kijinga nashindwa kupiga km hatupo wenyewe maana si wengine kumbusu mtu nyonyo ni sekunde sifuri tu
 
Halafu 2021 atakuja jamaa yetu kabisa, atatangaza nia dadeq, atapangiwa mahari ya 3+million. Atawehuka kuzitafuta ili aweke chuma ndani.

I insist, japo nipo nje ya mada, tusitishe mahari jamani.

Kaka hii ishu ya mali ni utapeli mkubwa sana siku hizi..

Yaani hamna sehemu wanaume tunatapeliwa kama kwenye kutoa mali
 
Nnavyozidi kufikiria ndo kichwa kinazidi kupata moto. Astaghafiru naskia kutapika.
Anyways alinipa historia yake at one point alikua street kid yani baada ya wazazi wake kufariki alilelewa na aunty yake ambae alikua anamtuma akauze mayai ya kuchemsha stendi. Alikua anashinda huko siku nzima na kurudi home saa 7 usiku. Nikafkiria mtoto mdogo akiishi maisha hayo anakua exposed na vitu vingi.
Sex wise akifanya bila kondom anamaliza ndani ya dakika moja ila akivaa condom ndo afadhali. Sikutaka kumuhoji sana coz I didn't want kumuingilia privacy yake. Plus utamuulizaje mwanaume kama aliwahi kua abused utotoni.

Sex hapendi yani mara nyingi ilikua kama namforce na anaonekana hes not enjoying it.

Too much info 😂😂😂
Daah ila ase kuna wanawake wanapitia mambo mengi!! Imagine kuna mwanaume atakuja kuoa kitu kama hichi na kuweka ndani😭😭!! Naendelea kumuunga mkono @Jokajeusi🙌🏻🙌🏻🙌🏻!! Wanaume nakazia tuoe bikra
 
Hakuna mungu Kama wewe nguruvii ha ha ha ha unaweza ye yey yeee


Madam maombi yamepokelewa naomba tufahamiane zaidi ahsante Sana MUNGU
 
Jamaa yupo lonely nadhani anafanana na yule alieelezewa kwenye uzi wa mdau fulani kwamba kuna watu hua "wanafosi watu wabakie kwenye maisha yao"
 
Huenda just huenda hakuwa comfortable around you ndo maana marafiki zake wakimuita anaenda kwa haraka na anakuja nao hadi kwa dates zenyu.

Anyway karibu chamani.
Ledada is single??...PM[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hakuna mungu Kama wewe nguruvii ha ha ha ha unaweza ye yey yeee


Madam maombi yamepokelewa naomba tufahamiane zaidi ahsante Sana MUNGU
😂 😂 😂
yaani humu waweza ingia na mambo yako kichwani ukajikuta tu unaishia kucheka..!
 
Back
Top Bottom