Mungu ni MMOJA tu,Hata asiyemwamini Mungu Krishna naye ameshahukumiwa...
Kondoo sishundqni nao, hapo kondoo kaaminishwa kuwa yesu ni mungu.Jibu HOJA,
Umekuwa ukidai hakuna popote Yesu amejiita Mungu.
(Yohana 10:30) Proves you wrong,
I and the FATHER are one.
(Yohana 8:58)
Kabla Ibrahim asijakuwako Bado, "MIMI NIKO "
Yesu ni Jina la Mungu huyo huyo mmoja.
Mungu ni MMOJA tu,
Jina la Mungu huyo ni Yesu Kristo.
Yesu ndilo JINA la Mungu tulilopewa WANADAMU linalowezankuokoa.
Tumepewa Jina YESU Ili kumtofautisha Mungu na miungu kama huyo Krishna uliyemtaja.
Mimi nimesema ninyi miunguKondoo sishundqni nao, hapo kondoo kaaminishwa kuwa yesu ni mungu.
Sasa biblia mbona imesema mungu wa duniani ni shetani?
Au hulijuwi hilo?
Mimi ukimwita yesu mungu usimwite mungu, mimi sijali.
Mimi ni Muislam, hakuna mungu katika Uislam.
(Zaburi 82:6)Kondoo sishundqni nao, hapo kondoo kaaminishwa kuwa yesu ni mungu.
Sasa biblia mbona imesema mungu wa duniani ni shetani?
Au hulijuwi hilo?
Mimi ukimwita yesu mungu usimwite mungu, mimi sijali.
Mimi ni Muislam, hakuna mungu katika Uislam.
Hata shetani alitamani kumpindua Mungu Mmoja, na hata hivi Leo anajiita mungu,Krisha naye kwenye Bhagavad Gita anasema hivi:-
9.23
"Hata wale wanaoabudu miungu mingine kwa imani wananiabudu Mimi pia, Ee Arjuna, lakini kwa njia isiyo sahihi."
9.24
"Mimi ndiye mpokeaji na Bwana wa matoleo yote ya dhabihu, lakini kwa sababu hawanitambui kwa ukweli, wao hurudi tena kwenye mzunguko wa kuzaliwa na kifo."
9.25
"Wanaoabudu miungu wataenda kwa miungu, wanaoabudu mizimu wataenda kwa mizimu, wanaoabudu mababu wataenda kwa mababu, lakini wanaonitolea Mimi ibada watakuja Kwangu."
Ni Kweli,Mleta mada umelala just WAKE UP!
Bhagavata Purana 10.9.21:Hata shetani alitamani kumpindua Mungu Mmoja, na hata hivi Leo anajiita mungu,
Lakini Mungu ni MMOJA pekee, NAFSI Moja,
Na Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo YESHUA HAMASHIACH
Ni Kweli,
Tunatofautiana uelewa na kuijua Kweli,
Hata kichaa huokota makopo akiamini wasiookota makopo ni vichaa ,wachafu, wasiojani mazingira.
Shetani amepofusha fikra zako Ili usiijue Kweli .
Ninakuombea uijue Kweli Ili uwe huru.
Amka bado umelala..toka gizani tafuta maarifa WAKE UP MAN!Ni Kweli,
Tunatofautiana uelewa na kuijua Kweli,
Hata kichaa huokota makopo akiamini wasiookota makopo ni vichaa ,wachafu, wasiojani mazingira.
Shetani amepofusha fikra zako Ili usiijue Kweli .
Ninakuombea uijue Kweli Ili uwe huru.
Kutambua kuwa Yesu ndiye NIKO AMBAYE NIKO, Mungu Mmoja NAFSI Moja,Amka bado umelala..toka gizani tafuta maarifa WAKE UP MAN!
Tumia akili yako kidogo tu pia tafuta maarifa acha kukariri umeshikwa akili yako kutoka hapo ni ngumu sana..WAKE UP!Kutambua kuwa Yesu ndiye NIKO AMBAYE NIKO, Mungu Mmoja NAFSI Moja,
Ni Maarifa ya juu mno yapitayo akili za kibinadamu.
Kutambua kuwa Yesu ndiye NIKO AMBAYE NIKO, Mungu Mmoja NAFSI Moja,
Ni Maarifa ya juu mno yapitayo akili za kibinadamu.
Aisee.(Yohana 10:17-18)
Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, Bali Mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uwezo wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena.
...... mwisho wa kunukuu....
Ndipo ujue hata Malaika mtoa Roho hakuweza kupita na Roho ya Yesu, maana Yesu ndiye huyo huyo Mungu Mmoja.
Aliutoa uhai katika mwili wa mwanadamu Kisha kuurejesha tena.
Kulipa, kuhuzunuka ni mwili wa nyama na hisia za kimwili maana alivaa mwili na kuwa kama mwanadamu Ili kuuokoa Ulimwengu, lakini KATIKA Roho, alikuwa huyo huyo Mungu Mmoja.
Amen
Akili zako hizo haziwezi kujua Siri za Mbinguni.Tumia akili yako kidogo tu pia tafuta maarifa acha kukariri umeshikwa akili yako kutoka hapo ni ngumu sana..WAKE UP!
Mimi asili yangu ni Mbinguni,Yapitayo akili za kibinadamu hayawezi kufanywa wala kuonwa na binadamu,,, au labda nawe si binadamu?
Haka ka-deffensive mechanism mnakatumia baada ya kushindwa kujibu mnayoulizwa...
Sawa kondoo wa bwana ngoja tu nikuache hamna namna.Akili zako hizo haziwezi kujua Siri za Mbinguni.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.