- Thread starter
- #21
Mungu ni MMOJA tu,Hata asiyemwamini Mungu Krishna naye ameshahukumiwa...
Jina la Mungu huyo ni Yesu Kristo.
Yesu ndilo JINA la Mungu tulilopewa WANADAMU linalowezankuokoa.
Tumepewa Jina YESU Ili kumtofautisha Mungu na miungu kama huyo Krishna uliyemtaja.