I and the FATHER are one!

I and the FATHER are one!

Jibu HOJA,

Umekuwa ukidai hakuna popote Yesu amejiita Mungu.

(Yohana 10:30) Proves you wrong,

I and the FATHER are one.

(Yohana 8:58)

Kabla Ibrahim asijakuwako Bado, "MIMI NIKO "

Yesu ni Jina la Mungu huyo huyo mmoja.
Kondoo sishundqni nao, hapo kondoo kaaminishwa kuwa yesu ni mungu.

Sasa biblia mbona imesema mungu wa duniani ni shetani?

Au hulijuwi hilo?

Mimi ukimwita yesu mungu usimwite mungu, mimi sijali.

Mimi ni Muislam, hakuna mungu katika Uislam.
 
Mungu ni MMOJA tu,

Jina la Mungu huyo ni Yesu Kristo.

Yesu ndilo JINA la Mungu tulilopewa WANADAMU linalowezankuokoa.

Tumepewa Jina YESU Ili kumtofautisha Mungu na miungu kama huyo Krishna uliyemtaja.

Krisha naye kwenye Bhagavad Gita anasema hivi:-
9.23

"Hata wale wanaoabudu miungu mingine kwa imani wananiabudu Mimi pia, Ee Arjuna, lakini kwa njia isiyo sahihi."

9.24
"Mimi ndiye mpokeaji na Bwana wa matoleo yote ya dhabihu, lakini kwa sababu hawanitambui kwa ukweli, wao hurudi tena kwenye mzunguko wa kuzaliwa na kifo."

9.25
"Wanaoabudu miungu wataenda kwa miungu, wanaoabudu mizimu wataenda kwa mizimu, wanaoabudu mababu wataenda kwa mababu, lakini wanaonitolea Mimi ibada watakuja Kwangu."
 
Kondoo sishundqni nao, hapo kondoo kaaminishwa kuwa yesu ni mungu.

Sasa biblia mbona imesema mungu wa duniani ni shetani?

Au hulijuwi hilo?

Mimi ukimwita yesu mungu usimwite mungu, mimi sijali.

Mimi ni Muislam, hakuna mungu katika Uislam.
Mimi nimesema ninyi miungu

Hujui kuwa Hata wewe ni muungu sababu unayo Roho?

Sasa kuondoa mkanganyiko huo,

Mungu ametupa Jina lake YESU Ili kumtofautisha Mungu Mmoja( Yesu) na miungu mwingine, Faiza fox akiwemo.
 
Kondoo sishundqni nao, hapo kondoo kaaminishwa kuwa yesu ni mungu.

Sasa biblia mbona imesema mungu wa duniani ni shetani?

Au hulijuwi hilo?

Mimi ukimwita yesu mungu usimwite mungu, mimi sijali.

Mimi ni Muislam, hakuna mungu katika Uislam.
(Zaburi 82:6)

Mimi nimesema ninyi miungu, Wana wa Mungu aliye juu.

......mwisho wa kunukuu....

Mungu mwenyewe awaita watu miungu!!
 
Krisha naye kwenye Bhagavad Gita anasema hivi:-
9.23

"Hata wale wanaoabudu miungu mingine kwa imani wananiabudu Mimi pia, Ee Arjuna, lakini kwa njia isiyo sahihi."

9.24
"Mimi ndiye mpokeaji na Bwana wa matoleo yote ya dhabihu, lakini kwa sababu hawanitambui kwa ukweli, wao hurudi tena kwenye mzunguko wa kuzaliwa na kifo."

9.25
"Wanaoabudu miungu wataenda kwa miungu, wanaoabudu mizimu wataenda kwa mizimu, wanaoabudu mababu wataenda kwa mababu, lakini wanaonitolea Mimi ibada watakuja Kwangu."
Hata shetani alitamani kumpindua Mungu Mmoja, na hata hivi Leo anajiita mungu,

Lakini Mungu ni MMOJA pekee, NAFSI Moja,

Na Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo YESHUA HAMASHIACH
 
Mleta mada umelala just WAKE UP!
Ni Kweli,

Tunatofautiana uelewa na kuijua Kweli,

Hata kichaa huokota makopo akiamini wasiookota makopo ni vichaa ,wachafu, wasiojani mazingira.

Shetani amepofusha fikra zako Ili usiijue Kweli .

Ninakuombea uijue Kweli Ili uwe huru.
 
Hata shetani alitamani kumpindua Mungu Mmoja, na hata hivi Leo anajiita mungu,

Lakini Mungu ni MMOJA pekee, NAFSI Moja,

Na Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo YESHUA HAMASHIACH
Bhagavata Purana 10.9.21:

Matendo ya Bwana ni ya milele na ya kiroho. Kwa kuyakumbuka, mtu husafishwa na hatimaye kufikia ukombozi.
 
Ni Kweli,

Tunatofautiana uelewa na kuijua Kweli,

Hata kichaa huokota makopo akiamini wasiookota makopo ni vichaa ,wachafu, wasiojani mazingira.

Shetani amepofusha fikra zako Ili usiijue Kweli .

Ninakuombea uijue Kweli Ili uwe huru.

Hatutofautiani uelewa bali tunatofautiana kile tunachokiamini.

Hapo ulipo huna ushahidi wa hicho unachokiamini zaidi ya Maandishi na hadithi ulizosimuliwa na tafsiri ulizolishwa...

Ukweli unaouongelea na kutegemea ni kile kilichogandishwa kwenye server za ubongo wako.
 
Ni Kweli,

Tunatofautiana uelewa na kuijua Kweli,

Hata kichaa huokota makopo akiamini wasiookota makopo ni vichaa ,wachafu, wasiojani mazingira.

Shetani amepofusha fikra zako Ili usiijue Kweli .

Ninakuombea uijue Kweli Ili uwe huru.
Amka bado umelala..toka gizani tafuta maarifa WAKE UP MAN!
 
Kutambua kuwa Yesu ndiye NIKO AMBAYE NIKO, Mungu Mmoja NAFSI Moja,

Ni Maarifa ya juu mno yapitayo akili za kibinadamu.
Tumia akili yako kidogo tu pia tafuta maarifa acha kukariri umeshikwa akili yako kutoka hapo ni ngumu sana..WAKE UP!
 
Kutambua kuwa Yesu ndiye NIKO AMBAYE NIKO, Mungu Mmoja NAFSI Moja,

Ni Maarifa ya juu mno yapitayo akili za kibinadamu.

Yapitayo akili za kibinadamu hayawezi kufanywa wala kuonwa na binadamu,,, au labda nawe si binadamu?

Haka ka-deffensive mechanism mnakatumia baada ya kushindwa kujibu mnayoulizwa...
 
(Yohana 10:17-18)

Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, Bali Mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uwezo wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena.

...... mwisho wa kunukuu....

Ndipo ujue hata Malaika mtoa Roho hakuweza kupita na Roho ya Yesu, maana Yesu ndiye huyo huyo Mungu Mmoja.

Aliutoa uhai katika mwili wa mwanadamu Kisha kuurejesha tena.

Kulipa, kuhuzunuka ni mwili wa nyama na hisia za kimwili maana alivaa mwili na kuwa kama mwanadamu Ili kuuokoa Ulimwengu, lakini KATIKA Roho, alikuwa huyo huyo Mungu Mmoja.

Amen
Aisee.
 
Yapitayo akili za kibinadamu hayawezi kufanywa wala kuonwa na binadamu,,, au labda nawe si binadamu?

Haka ka-deffensive mechanism mnakatumia baada ya kushindwa kujibu mnayoulizwa...
Mimi asili yangu ni Mbinguni,

Hujakosea.

Na kamwe, wenye asili Toka chini na mwenye asili Toka Mbinguni hawawezi kuelewana.
 
Back
Top Bottom