- Thread starter
- #41
Kuondoa utata huo,Krisha naye kwenye Bhagavad Gita anasema hivi:-
9.23
"Hata wale wanaoabudu miungu mingine kwa imani wananiabudu Mimi pia, Ee Arjuna, lakini kwa njia isiyo sahihi."
9.24
"Mimi ndiye mpokeaji na Bwana wa matoleo yote ya dhabihu, lakini kwa sababu hawanitambui kwa ukweli, wao hurudi tena kwenye mzunguko wa kuzaliwa na kifo."
9.25
"Wanaoabudu miungu wataenda kwa miungu, wanaoabudu mizimu wataenda kwa mizimu, wanaoabudu mababu wataenda kwa mababu, lakini wanaonitolea Mimi ibada watakuja Kwangu."
Ndipo Jina la Mungu Mmoja likafunuliwa kupitia Malaika Gabriel,
Kwamba utazaa mwana na kumwita Yesu yaani Mungu pamoja na WANADAMU.
Sasa Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu, huyo Krishna ni kinyaggo tu, miungu inayotaka iabudiwe , Yesu alishaonya hayo. Yeyote ajaye Kwa Jina tofauti na YESU, huyo ni WA kuzimu.
Kijana elewa jambo hili Rahisi kuwa,
Mungu ni MMOJA, NAFSI Moja alikuja katika mwili wa mwanadamu, akazaliwa,akaitoa Roho yake, Kisha kuirudisha katika mwili, Kisha akapaa Mbinguni.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.