I can guess your age, njoo upige mahesabu.....,

I am Bless

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
231
Reaction score
518
I can guess your real age, kwa kutumia hesabu, unatakiwa tu kufuata maelekezo yangu,
Hatua ya kwanza: Chukua namba yoyote kati ya 1-9, yani 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1, chukua namba yoyote moja tu kati ya hizo 9,
Hatua ya pili: Ile namba moja uliyo ichukua kwenye hatua ya kwanza izidishe mara x2,
Hatua ya tatu: Jibu ulilo lipata kwenye hatua ya pili lijumlishe na 5,
Hatua ya nne: Jibu ulilo lipata kwenye hatua ya tatu lizidishe Mara x50,
Hatua ya tano: Kama tayari umesha sherehekea birthday yako mwaka huu jumlisha jibu ulilolipata kwenye hatua ya nne na namba hii 1770, na kama bado ujasherehekea jumlisha jibu ulilolipata kwenye hatua ya nne na namba hii 1769,
Hatua ya sita: Sasa jibu ulilo lipata kwenye hatua ya tano unatakiwa utoe na mwaka wako ulio zaliwa mfano (toa 1999),
Sasa jibu litakalo kuja baada ya kutoa litakuwa na tarakimu tatu,

The incredible results,
X - Namba moja ya mwanzo kutoka kushoto kati ya zile ulizozipata kwenye zile tarakimu tatu ulizozipata kwenye hatua ya mwisho ni namba moja wapo kati ya zile 1-9 ulizo zichagua kwenye hatua ya kwanza,
YZ- Namba zile mbili za mwisho ulizo zipata kwenye hatua ya mwisho tokea kulia ni miaka uliyo nayo sasa hivi, nileteeni mrejesho hapa.......,
 
6

6 x 2 =12

12 + 5 =17

17 × 50 = 850

850 + 1767 = 2617

2617 - 1988 = 629

sawaaaaa
 
Uchawi hapo ujue nimezaliwa mwaka gani full stop.
 
Sasa nikishakupa mwaka niliozaliwa si ndo basi
 
6

6 x 2 =12

12 + 5 =17

17 × 50 = 850

850 + 1767 = 2517

2517 - 1988 = 429

sawaaaaa
Mkuu ulikosea hatua ya pili kutoka mwisho jibu lilitakiwa lije 2617 ukitoa na mwaka wako wa kuzaliwa inakuja 629 ambapo 6 ndo namba uliyo chagua mwanzoni na 29 ndo miaka yako,
 
duh! wewe ni hatari unaonekana una kitu fulani kichwani kwako..,shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…