I can guess your age, njoo upige mahesabu.....,

Bado nipo kwenye uchunguz kujua trick ya hii hesabu ilipo..
Nilicho gundua sasa
-iyo atua unayo zidisha na 2, ata ukizidisha na namba yoyote still iyo namba ita kuja mwanzo mwa jibu
 
Trick ipo hivi,
Hiyo hesabu naigawa sehemu mbili; sehemu ya kwanza kupata umri.
sehemu ya pili kugundua namba uliyochagua inatokeaje kushoto mwa jibu la mwisho.

Sehemu 1:
ili kupata umri wako ni hesabu rahisi; chukua mwaka huu 2018 unatoa mwaka uliozaliwa.

Ujanja wa hii hesabu ni kucheza na namba mpaka kupata hiyo 2018.

jumlisha 5, zidisha kwa 50, jumlisha 1768

5 * 50 + 1768 = 2018

sehemu 2:
ukichukua namba yoyote ukazidisha kwa 100 lazima hiyo namba itokee kushoto;
mfano; 4 * 100 = 400

kama umechagua 4; zidisha kwa 2, halaf zidisha kwa 50. ( 2*50 = 100)
kwa kifupi chukua 4 zidisha 100 lazima upate 400, hata ukichagua 7 ukizidisha 100 itakuja 700.

hiyo 700 ukijumlisha umri wako tuliotafuta hatua ya kwanza kazi imeisha.

Mengine ni ujanja wa namba tu badala ya kukwambia jumlisha 10 atakwambia jumlisha 7 halafu jumlisha 3. Hakuna uchawi hapo.
 
X na YZ zote ni SAHIHI kwangu. Amazing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…