Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatunyanyasa sana mitaani... Lakini adhabu hii ni kubwa sana kwa kweli....
Za mwizi arobaini naona tayari keshaandaliw tayari kwa kiberiti....mapigo ya moyo hapo usitake kujua..
![]()
Bahati mbaya huyu anaiba kwa kutumia watu wengine na kwa makaratasi si kama kibaka huyu,hivyo iankuwa vigumu sana kushughulikiwa kwa style kama ya kibaka ila ipo siku nae atapata dawa kama ya kibaka.Kwa nini hawakumchoma huyu?
![]()
Kuna wakati ni lazima mtu afe kwa style hii ili iwe mfano kwa wengine ambao wana tabia kama za huyu,kwa wanaosema kuwa adhabu hii ni kubwa sana nadhani hawajawahi kupata madhara ya kuibiwa na watu kama huyu.
Tunatambua kuwa sheria za nchi haziruhusu wananchi kujichukulia sheria mikononi lakini yafaa kitu gani kumkuta mtu kama huyu tena mtaani wakati jana yake alikuwa polisi?Tufikie wakati tutoe mfano kama huu ili tabia kama hizi zikome.
Tena ni jambo la dakika moja tu maana hana faida katika jamii,ni afadhali angeomba hata kazi ya kubeba zege sehemu kuliko kuiba.Mkuu una roho ngumu, mie hata kuua mdudu siwezi, itakuwa kuua kwa maneno.
Ungepewa kiberiti umuwashe kibaka huyu ungemuwasha ?
Za mwizi arobaini naona tayari keshaandaliw tayari kwa kiberiti....mapigo ya moyo hapo usitake kujua..
![]()
mtampata wapi? labda tuanze kujichoma wenyewe kama watu wa egyptKwa nini hawakumchoma huyu?
![]()