I cant imagine mapigo ya moyo ya kibaka huyu kabla ya kiberiti...Poor him

I cant imagine mapigo ya moyo ya kibaka huyu kabla ya kiberiti...Poor him

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
Za mwizi arobaini naona tayari keshaandaliw tayari kwa kiberiti....mapigo ya moyo hapo usitake kujua..

168174_195549717125894_100000126027936_826015_5044730_n.jpg
 
Huu ni unyama na ukatili wa ajabu kabisa. Lakini mwene makosa zaidi ni mafisadi wanaosababisha hali mbaya ya kiuchumi na watu kuwa kama wanyama.
 
Wanatunyanyasa sana mitaani... Lakini adhabu hii ni kubwa sana kwa kweli....
 
Ana hirizi huyo, mkimuacha hapo mkidhani mmeua, kesho mnamkuta kijiweni kalewa bange
 
Kuna wakati ni lazima mtu afe kwa style hii ili iwe mfano kwa wengine ambao wana tabia kama za huyu,kwa wanaosema kuwa adhabu hii ni kubwa sana nadhani hawajawahi kupata madhara ya kuibiwa na watu kama huyu.
Tunatambua kuwa sheria za nchi haziruhusu wananchi kujichukulia sheria mikononi lakini yafaa kitu gani kumkuta mtu kama huyu tena mtaani wakati jana yake alikuwa polisi?Tufikie wakati tutoe mfano kama huu ili tabia kama hizi zikome.
 
Kuna siku niliibiwa arusha na kibaka, iliniuma sana na kunirudisha nyuma kiratiba ila kamwe sikufikiria kumuua kwa ajili ya vitu vidogo.

Serikali ndo inastahili lawama.
 
Kwa nini hawakumchoma huyu?

rostam_3.jpg
Bahati mbaya huyu anaiba kwa kutumia watu wengine na kwa makaratasi si kama kibaka huyu,hivyo iankuwa vigumu sana kushughulikiwa kwa style kama ya kibaka ila ipo siku nae atapata dawa kama ya kibaka.
 
Kuna wakati ni lazima mtu afe kwa style hii ili iwe mfano kwa wengine ambao wana tabia kama za huyu,kwa wanaosema kuwa adhabu hii ni kubwa sana nadhani hawajawahi kupata madhara ya kuibiwa na watu kama huyu.
Tunatambua kuwa sheria za nchi haziruhusu wananchi kujichukulia sheria mikononi lakini yafaa kitu gani kumkuta mtu kama huyu tena mtaani wakati jana yake alikuwa polisi?Tufikie wakati tutoe mfano kama huu ili tabia kama hizi zikome.

Mkuu una roho ngumu, mie hata kuua mdudu siwezi, itakuwa kuua kwa maneno.

Ungepewa kiberiti umuwashe kibaka huyu ungemuwasha ?
 
duuh!hapo hata mapigo ya moyo hayasomeki lakini wakimpa upenyo tu hawamkamati ng'oo.kuna kibaka juzi alishawashwa kabisa moto.nadhani mpaka anawashwa moto alikua ameshazimia.lakini moto ulivyoanza kumchoma nadhani maumivu yalimzindua.alikurupuka hakuna aliemkamata tena maana alishaanza kuungua usoni so alikua tayari anatisha kuliko.
 
Sio fresh kabisa!
Juzi KATI AMENUSURIKA KUUAWA KIJANA MMOJA MWANZA, KUTOKANA NA SABABU HII HAPA CHINI.
KIJANA ALIKUA KAENDA KUCHUKUA PESA KWENYE ATM... WAKATI YUPO KWA MSTARI, WATATU KUTOKA YEYE NYUMA NI MWANA MAMA ALIE VAAILIA VIZUR KABISA.
KIJAN AMEINGIA NDAN YA ATM NA KUCHUKUA LAKI TATU 300,000/ NA RISIT YAKE AKAODOKA. HAJAFIKA MBALI SANA YULE MAMA MITAAN AKAANZA KUPIGA KELELE ZA MWIZI AKIMSHUTUM KIJANA YULE ATI NI MWIZI. KAMA KAWA RAIA,, WAKAMVAGAA NA KUMPA KICHAPO,,, ANAKATA MWANYA NA KUULIZA NIMEIBA NINI, AKATOKEA JAMAA AKAMUULIZA MAMA KIJANAAMEKUIIBIA NINI? MAMA,, kijan kaniibia PESA.
KIJANA AKAANZA KUJITETEA, PESA NI YANGU LAKI3 NIMETOKA SASA IVI ATM NA RISIT HII HAPA, MAMA AKA UMBUKA NA KUPEWA KICHAPO, SI DHANI KAMA MAMA YULE ALIPONA.
SASA.. HASIRA ZA WABONGO HAZINA AKILI. KIBAKA WA MAYAI YA KUKU ANACHOMWA MOTO,, MWIZI WA MABILION YA PESA ANASHANGILIWANA KUITWA BOSI MUHESHIMIWA...
INAKERA SANA BONGO...
 
Mkuu una roho ngumu, mie hata kuua mdudu siwezi, itakuwa kuua kwa maneno.

Ungepewa kiberiti umuwashe kibaka huyu ungemuwasha ?
Tena ni jambo la dakika moja tu maana hana faida katika jamii,ni afadhali angeomba hata kazi ya kubeba zege sehemu kuliko kuiba.

Kwa mliomaliza Mzumbe mtamkumbuka Mstafa alichomwa moto mwishoni 2010 Mwanza kwa kudhaniwa kibaka na wanakijiji. Hizi hasira za kujichukulia mikononi sio fresh, jamaa hakupewa nafasi ya kujitetea kisa alikuwa mgeni mitaa hiyo wakahisi kibaka na kumuua msomi hata kabla hajala matunda ya elimu yake.

RIP Mstafa we still mourns your brutal death.:A S 20::A S 20:
 
Ni haki hawa vibaka ni wakichomwa. Mnaosema siyo fair nafikiri bado hayajawakuta.
 
Back
Top Bottom