Mtoto yupo wala simfungii sasa wewe tia tena miguu ujionee atakavyo kucharaza!!!
Rich Pol We ni costebo sasa unataka kujipa cheo cha jenerali
We fanya mapinduzi umma ushuudie punguza blaa blaa!!!
Pale pamechimbiwa kitu pale sana sana zitaliwa zije kipandee hii!!!
Mimi nlikukataa au wewe ndo umenikataa? Au ulitaka nifanye kama Tembosa?
Haya mkuu usiseme sijakuonya! Ulishawahi kuona una mke lakini Mtoto akizaliwa anafanana na rafiki yako??! Shauri yako, me mmbayaaa!!
Haya mkuu usiseme sijakuonya! Ulishawahi kuona una mke lakini Mtoto akizaliwa anafanana na rafiki yako??! Shauri yako, me mmbayaaa!!
rich unajua kushusha mkwara!!
We pambana utarudi umeinamisha kichwa chini!!!
Wifi mbona kama sikuelewi?Umekataana na nani?
kiwatengu mimi sitaki mtu abadilishe njiaMkuu wewe endelea tu! Kama nikirudi sihitaji kukuambia, utajua tu, maana mambo yangu yanakishindo.
Wifiii...una macho makali khaaa....saa zengine uvaage miwani na wewe lol
Tembosa ooh jamani its nice am just waiting to make every thing clear then come back to me with a new vision... nashukuru kwa kufanyia ushauri wangu kazi ni jambo jema pia kwangu...... remember i told you DON'T BLINK.... and never do that
miss chagga acha kung'ata kucha hadi saivi, mjibu basi mwenzio. He is crazy over you.