wewe taratibu wewe sikubali kuweka kabatini hivi hivi mpaka nione kila kitu kinapatikana mule ndani ya kabati
My wii wewe ni noma yani unakaba hadi penalt?
Ukimuona utafiti msalimie sana mwambie nimemmiss ile mbaya
Mmmh mkemwenza hebu nifafanulie kiunagaubaga
Kama unampenda mumeo bora usijue kabisa utakufa
whaaat...nakusemea kwa babayo utafiti
Asante kuwaeleza, sisi wengine kazi yetu ni kutoa mibaraka tuu!.Pasco yup[o kwenye kamati ya maombi kama gwanyima
unamtaka?
new thing to teamrafiki..
Saiv hii mali yangu. Wakati wenu ulishapita
Ni best friend wangu na pia ananipa sana chocolate ndo maana nimemmiss maana sijamuona siku nyingi
kwa hiyo unamtaka?
Asante kuwaeleza, sisi wengine kazi yetu ni kutoa mibaraka tuu!.
Pasco
Ntuzu niseme ? Ulinitongozaje nisemeNtajikaza mkemwenza nifafanulie
Hapa ndio kuna kichuguu mkuu Tembosa jipange sawasawa maana hawa wa kaskazini chalii angu wametumwa makaratasi ya rangi mjini,hawajaja kutanganza injili
Hahaha, na mlevi akifall in love anatoa ahadi kuliko ccm. Tatizo ni wakati unapendwa unapewa excuses kama mia, ooh nakunywa kwa sababu niko lonely, ooh sina wa kumuwahi nyumbani. Akikuweka ndani unakuwa furniture, anakuwa hana wa kumuwahi home kama zamani.
bora kufanya maamuzi magumu mapemaaa!
huo ustaarabu wa kunywea home unaandamana na fedha za mawazo. hehehe pata hela mkeo akujue tabia zako inahusika sana tu.

Aheri na mke nimkose kama ultimatum ni kuacha pombe!Kila mtu na starehe yake bana
Sitaki hata niwaze itapitaje pitaje weekends yangu bila kupiga viroba kadhaa?No way
aogopa kuumwa na nyoka
Hahahaha....wacha kumtisha my hasbendi wewe
usiogope bhana