Salamaa,asAntee kwa kujibu. Sijui imekuaje ila kwa point ya size ya kioo sidhaniii,sim yangu haina kioo kidogo naamini.. ni Sony Xperia z3.Habari mimi ni moja ya mmliki wa hiyo forum kuepuka hizo notification fungua akaunti kisha accept cookies anyway inaonekana simu yako inakioo kidogo
Hii story imefanya mambo kadhaa nsiyafanye kwa wakati, ndo kwanza npo chapter 700, dahlia kazungukwa na washenzi, kale ka Julie nakachukia kinoma,Story inabamba sana, tujuane tulioisogeza sogeza kidogo...
Team Natasha na Team Dahlia wajionyeshe hapa...me binafsi simuelewi Dahlia na familia yake na hawamfai yule mwamba kabisa, ninafurahi familia ya Harmons walivyompokea mwamba na wanavyomkubali kinoma noma hasa shemeji yake Roth...
Niko page ya 1300 sasa na inapendeza sana kuona watu wengi Duniani wanaifuatilia story yenyewe, story ni addictive sana.
Tyler kachakazwa vibaya, kiongozi wa martial arts alliance kanyoshwa kama moja na kukatwa kichwa, Dahlia kapata amnesia na hamkumbuki tena mwamba, na sasa nguvu imehamishiwa stonia wametoka millsburg..
Kua mwandishi nguli inahitaji ubongo mpana , mwandishi kanishinda tabiaKaza mwendo kaka, kuna translator yuko chap kidogo anaitwa OZN huko #kijijiforums amefikisha page ya 1700 tunasubir mwendelezo nafkir kesho.
Kila hatua ni tamu balaa, ngoja nitafute link nikuwekee hapa..lately nilidhanj nianze kuzipost hapa bado nafikiri kuhusu muda wangu....
Tuliosogezasogeza tukutane tuzungumze kidg..
Umeupiga mwingi balaa, hii kitu inabidi niipunguzie ratiba , ina addiction flaniKumekucha wadau?
Aisee Dustin Rhys is untouchable in his early 20's
Hana tamaa
Martial Arts Genius
Hajikwezi
Hakati tamaa kirahisi
Sio sex monger
Anajitafuta mwenyewe bila kujali ukubwa wa hadhi ya familia yake
Man of his words
Hana marafiki wengi
Anajali
Hapendj ufisadi
Haingilii mambo yasiyomhusu
More actionable
Hategemei backup
Sio ombaomba
Pesa na utajiri sio vitu anavyojali
Ana mbinu za maisha
Anasoma vitabu sana
Halizimishi kuaminiwa
Aisee wadau nimefika page ya 1004
Tulio sambamba njooni tujadili kidogo....
Hakuna mahali nmependa kama Dahlia alivyomsahau Dustin na anavyohangaika na penzi la mtu ambaye before hukuwahi kujali wala kuona faida yake, ati leo anataka kujinyonga kisa Dustin, lol! [emoji23][emoji23] Ama kweli kuna mambo hayana fundi
Aisee am impressed with Natasha, she is a woman in love with Dustin aisee...I wish ningekuwa Dustin nahisi ningemfaidi Natasha mbaya mbovu, afu eti Natasha in her late 20' s bado ni virgin jomoon...ndo naimagine kwa leo hii, virgin warembo wenye umri kama huo bado wapo???
I loved Hector
Sijasikia muda kutoka kwa Catylin na Maximus
I don't know The kind of feelings Scarlet have on Dustin ( whether ni mahaba ama Upendo wa kindugu[emoji4])
Ama kweli, usiipe dharau nafasi maishani kwako, mheshimu Kila mtu
Pg 1927 mambo bado ni [emoji91]Namimi nimo nimo niko page ya 1526 jamaa kamlete baba yake wa kumlea zawadi ya chui, kwamba chui ana msikiliza anachosema, mwishoe chui kaliamsha kamzingua julie anataka amzingue na dahlia dustin katokea daah, sema hii n movie sema tu ipo kwenye maandishi, lets go
Kama una link ya page hiyo mkuu naomba link tafadhaliPg 1927 mambo bado ni [emoji91]
Hey boss naomba link kuanzia chapter 2001 plus.
Pg 1927 mambo bado ni [emoji91]
Mbona link inanpeleka uchina mkuu
Mkuu nitafitie story ya A Man like none other please