Kumekucha wadau?
Aisee Dustin Rhys is untouchable in his early 20's
Hana tamaa
Martial Arts Genius
Hajikwezi
Hakati tamaa kirahisi
Sio sex monger
Anajitafuta mwenyewe bila kujali ukubwa wa hadhi ya familia yake
Man of his words
Hana marafiki wengi
Anajali
Hapendj ufisadi
Haingilii mambo yasiyomhusu
More actionable
Hategemei backup
Sio ombaomba
Pesa na utajiri sio vitu anavyojali
Ana mbinu za maisha
Anasoma vitabu sana
Halizimishi kuaminiwa
Aisee wadau nimefika page ya 1004
Tulio sambamba njooni tujadili kidogo....
Hakuna mahali nmependa kama Dahlia alivyomsahau Dustin na anavyohangaika na penzi la mtu ambaye before hukuwahi kujali wala kuona faida yake, ati leo anataka kujinyonga kisa Dustin, lol! [emoji23][emoji23] Ama kweli kuna mambo hayana fundi
Aisee am impressed with Natasha, she is a woman in love with Dustin aisee...I wish ningekuwa Dustin nahisi ningemfaidi Natasha mbaya mbovu, afu eti Natasha in her late 20' s bado ni virgin jomoon...ndo naimagine kwa leo hii, virgin warembo wenye umri kama huo bado wapo???
I loved Hector
Sijasikia muda kutoka kwa Catylin na Maximus
I don't know The kind of feelings Scarlet have on Dustin ( whether ni mahaba ama Upendo wa kindugu[emoji4])
Ama kweli, usiipe dharau nafasi maishani kwako, mheshimu Kila mtu