I feel like I want to die

I feel like I want to die

Dahhh ntakujibu ingawa muda hauko upande wangu.....
Yaani katika yote uliyosema hakuna ambalo limenifanya nishtuke hata kwa dakika kiasi cha kusema unastahili kidooogo kujiua... kila MTU akisema shida zake hapa lazma utarudi kwenye ibada na utaimba nyimbo zote za shukrani unazozijua...
Unapata muda na bundle LA kuombea ushauri af unajistahikia kifo??.. Na kama ni kweli sumu haifanyi kazi,bhasi una sababu ya kuish ambayo umeshindwa kuiona kwa upofu wa shida zako..itafute
 
Kumbe mtoto wa kiume ndo unalia ivi kaza buti banahujawai kuishi uswahilini uza io smartphone anzia biashara ata kama ni kuuza mihogo ukishindwa kabisa njoo kijijin huku watu wanaushi tu bila hata kufanya kazi
 
Embu jaribu maji ya betri, kula cement hata mfuko mmoja hiv, ngao ya mbu.

Ukishindwa nione.
 
Form six umemaliza unalia hivyo? kwani unaishi wapi? umeshindwa hata kutafuta bodaboda uendeshe?
 
Yan ww kwa maelezo yako yooote inaonesha ww ni bonge la msanii

-inakuaje ad saiz unamilk smartphone
-pesa ya kfurushi unatoa wap
-Na inakuaje unapata muda wa kuingia hum akat ushakata tamaa na maisha??

We jiuue2!!
 
Kujiuwa sio mwisho wa maisha in mwanzo wa maisha ya jehanamu au peponi, kabla ya kujiuwa chagua unataka kwenda wapi?...... Kujiua ni uamuzi wako sio mapenzi ya Mungu au shetani. Ni wewe unaamua hivyo. Nakushauri umkaribishe Mungu moyoni mwako na umwamini kwa moyo wako wote, atakufanyia miujiza na maajabu ya kukufanya uishi maisha mema yenye amani. Yohana 3:16.
Asante mkuu kwa ushauri Ni stress Tu zilinifanya kutaka kujiua but thanx kwa kunitia nguvu na kubadili Nia yangu
I can not say a thing, i can not help, im just crying, please come back and say this is just a story, please !!!
Is not just a story mkuu is the reality but I've already change my mind and I thank God that I'm alive
 
Acha kuzingua wewe.

Tatizo vijana wa siku hizi wanapenda maisha rahisi sana ndio maana unalia lia mtandaoni badala ya kuangalia nini unaweza ukafanya kusogeza maisha mbele. Unalalamika mara baba mara mama, unadhani kila mtu ambae amefanikiwa au anastahimili mikikimikiki ya maisha aliachiwa urithi?

Sikuonei huruma ila umenikasirisha sana. Unaingia JF kulalamika utafukuzwa baada ya siku 5, we unadhani nani anataka kukaa na mtu asiyejishughulisha na wala haishi kulalamika? Unadhani ukienda kwa mtu ukaomba kukaa huku ukiwa hata na sh. 2000 ya kuchangia chakula hatokuvumilia maadam anakuona unahangaika?

Uza hiyo simu, chukua hela utakayopata nenda nayo Kariakoo kanunue hata chupi au boxer dosen moja au hata nusu ukachuuze mtaani. Kuwa na kauli nzuri, omba watu wakuungishe ili upate kidogo chako cha halali. Acha kulia lia ujinga, tumia akili na ujitume.
Thanx kwa ushauri Mkuu but nadhani hayo uliosema nilishaomba ushauri kuhusu Hilo kama one week or two hivi... Nkaomba kupata connections and more options so sijakurupuka japo about yesterday it was a stress ILA now if you can help me please help me for anything
 
T
HAKUNA JARIBU AMBALO MUNGU HUMPATIA MWANADAMU ASIWEKE MLANGO WA KUTOKEA,SIMAMA,JITIE NGUVU, SONGA MBELE, USIISHIE KULALAMIKA WALA KUJIUA, WAPO WALOPITIA MAGUMU KULIKO YAKO LAKINI HAWAKATI TAMAA, MUNGU ANA MAKUSUDI NA KILA MTU ALIYEMUUMBA, USIFIKIRI NI KWA NINI ULIPOTEZA SUMU ULONUNUA ILI UJIUE, AU KWANINI HUKUFA BAADA YA KUMEZA VIDONGE, UTAKUFA BAADA YA KUMALIZA KAZI ILIYOKULETA DUNIANI. UTAENDELEA KUUMIA SANA KAMA BADO UTAKUWA UNA MAWAZO YA KUKATA TAMAA.HIYO FORM SIX YAKO IWEKE PEMBENI MAANA WAPO WENGI HATA HIYO FORM SIX HAWAIJUI NA MAISHA YAO NI MAZURI KABISA, ILA VYOTE HIVYO HUJA BAADA YA JITIHADA ZA KUTOSHA. USIWAANGALIE NDUGU MAANA NAO WANA YAO.
MWENYEZI MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA YOTE UNAYOPITIA, NA NAAMINI ATAONESHA NJIA PALE AMBAPO KWA MACHO YA KIBINAADAMU HATUIONI NJIA.
Thanx mkuu kwa ushauri and God bless you
 
Leo jioni kwenye channel moja ya Azam ya investigation discovery kama sikosei kulikuwa na kisa almost kama hiki : Kijana wa around 20 plus yrs, ambaye baada ya kumaliza chuo hajapata kazi na jambo hilo likawa linamsumbua na kumkosesha raha. Hali hii ikaanza kumuathiri psychologically licha ya kwamba yuko home na wazazi. Alianza kuwa na hasira za ajabu na kwa vitu vidogo, na kuna siku alitoka na gari ya baba yake na baada ya kuoverspeed akasimamishwa na polisi but hakusimama hadi home. Yule polisi akam trace mpaka akafika kwao na baba yake Atoka kumsikiliza ili aone jinsi ya kuyamaliza. Yule dogo akatoka na badala ya kumuacha mzee wake, ambaye anamjua alivyo na hasira, akaingilia na kuanza kubishana na polisi. Wakati ubishi ukiendelea na polisi kuamua kupiga simu kituoni yule dogo akaingia ndani kwao nakutoka na bastola akiwa ameificha na kumuua yule polisi. Baadae naye baada ya kesi ndefu alihukumiwa kunyongwa. Sasa hizi stress ni mbaya sana hasa pale vijana wanapokuwa idle. Ushauri wangu ni kwamba kama una ujuzi kidogo, Umemaliza kozi but hujapata kazi basi jitolee kwenye ofisi au kampuni iliyo jirani na maeneo ulipo kwani utapata contacts na watu na kama una bidii utatoka tuu.
Thanx kwa ushauri na Hilo ndo nalifanyia kazi mkuu
 
Pambana pambana pambana aisee...
Mfano mzuri baba yangu mzazi mama yake alifariki akiwa na miaka nane...ameishi kwa kutapa tapa vibarua visivyoeleweka mpaka Mungu kamshika mkono leo. Unafundishwa kuwa mwalimu bora baadae kwa wenye shida kama zako ndugu. Angekata tamaa angekuwa wapi ? Fight fight fight....kama huna akili tumia nguvu....ili mradi usiende kinyume na mapenzi ya Mungu...penye ugumu ndio neema hukaribia. Ukijiua tu ndio mwanzo wa jehanamu...utatamani urudi huku...na hutakuwa na nafasi tena. Pambana ! Pia tafuta mahali utakapo kuwa unamfanyia Mungu ibada.
Thanx so much kwa ushauri and God bless you
 
My assumption is that this is a story. Why? The guy with such degree of problems has a cell phone or computer access to write a thread on JF web!
do you think to have a smartphone is a big deal? Do you know where I got this phone? For which price? For me to write just a story here what for? What do I want mpaka niandike false story here? Don't you know even for 500 Tsh you can use internet cafe? Mkuu don't think that I'm such kind of person who can tell lies to the people who even don't know them... I have a lot to explain but is not necessary for now but if you are interested then I will tell you through private message if you want... For now trust me or if you don't then its ok because I have no right to force you to believe me and I don't have anything to tell you more so that you can trust me
 
do you think to have a smartphone is a big deal? Do you know where I got this phone? For which price? For me to write just a story here what for? What do I want mpaka niandike false story here? Don't you know even for 500 Tsh you can use internet cafe? Mkuu don't think that I'm such kind of person who can tell lies to the people who even don't know them... I have a lot to explain but is not necessary for now but if you are interested then I will tell you through private message if you want... For now trust me or if you don't then its ok because I have no right to force you to believe me and I don't have anything to tell you more so that you can trust me
Nicheki pm mpendwa
 
Asante mkuu kwa ushauri Ni stress Tu zilinifanya kutaka kujiua but thanx kwa kunitia nguvu na kubadili Nia yangu
Is not just a story mkuu is the reality but I've already change my mind and I thank God that I'm alive

Unamshukuru mungu kwa lipi?

Shukrani ziende kwa waliyokupa ushauri usijiue
 
Back
Top Bottom