simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,168
Dahhh ntakujibu ingawa muda hauko upande wangu.....
Yaani katika yote uliyosema hakuna ambalo limenifanya nishtuke hata kwa dakika kiasi cha kusema unastahili kidooogo kujiua... kila MTU akisema shida zake hapa lazma utarudi kwenye ibada na utaimba nyimbo zote za shukrani unazozijua...
Unapata muda na bundle LA kuombea ushauri af unajistahikia kifo??.. Na kama ni kweli sumu haifanyi kazi,bhasi una sababu ya kuish ambayo umeshindwa kuiona kwa upofu wa shida zako..itafute