mtu anakuwa legit kama anamiliki kampuni. Tena sharti hiyo kampuni iwe regulated na regulatory body ambayo ina makali kama FCA au ASIC...Mdogo wangu everything was looking formal jamaa hata ukigoogle wanaonekana legit
Jamaa alivyo ambiwa kuwa akiweka $2000 ndani ya siku 14 atapa 500% nafikiri alianza na kuulizia bei za Range [emoji23][emoji23]Ndugu pole sana.
Nilichogundua kuhusu wewe ni kuwa.
-Una matarajio makubwa sana.
-Unapenda mafanikio ya haraka haraka.
-Unapenda shortcut.
-Unaamini sana biashara inayofanyika online.
-Ni mpambanaji sana.
Kwa mtazamo wangu, utaendelea kutapeliwa kila mara mpaka hapo utakapoanza kubadilika kuhusu hiyo mitazamo yako.
That’s true
Jamaa alivyo ambiwa kuwa akiweka $2000 ndani ya siku 14 atapa 500% nafikiri alianza na kuulizia bei za Range [emoji23][emoji23]
God save us
Madhara ya kujifungia chumbani ndio yanafanya mtu anashindwa kujua vitu kama hivi... .Internet scams kama hizi ni common sana, yaani unajuwa kabisa huu ni utapeli kama zile
"mimi ni mtoto wa mwanasiasa flani mkubwa, baba yangu kafa kaacha pesa nyingi nje,sijuwi alikuwa uhamishoni, natakiwa nitume pesa flani ya kulipia bima na mengineyo nitumiwe pesa yangu, Sasa naomba uwatumie pesa kiasi hicho hao jamaa kisha watakuingizia pesa hii kwako tutagawana, nitakulipa riba kubwa au tutagawana 50/50".
Ukituma ndio ishakula kwako.
mtu anakuwa legit kama anamiliki kampuni. Tena sharti hiyo kampuni iwe regulated na regulatory body ambayo ina makali kama FCA au ASIC...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa ni mjinga sana
1100$ ni kama 2.5 milion ungeweza kuanzisha hata mgahawa wako mdogo amboa ungepata 20000 kama faida kwa siku
Kwa mwaka ungeweza kutengeneza milion 7.2
Vijana tubuni miradi pesa haiji hivi hivi.
Mimi uwa nawekeza kwenye vitu vidago vidogo na napiga pesa kweli nahakikisha hata kama niko kwenye majukumu mengine miradi inajiendesha yenyewe kwa simu.
Ukiwa na mighawa 5, saloon za kiume 5 pikipiki 5 na bajaji 5 kwa siku unatengeneza pesa kama laki3
Sina sababu ya kuangalia site yao. Account management procedures zake zinafahamika. Siyo hivi vitu ulivyotuandikia ww...Check their site
Mdogo wangu everything was looking formal jamaa hata ukigoogle wanaonekana legit
Ni kweli mkuu.Kila mtu na ujinga wake ndugu sema wengine hawaongei
Easy money. Angezitolea jasho asingekuwa mvivu hamna hiiBro, you are not serious!!
Yani kirahisi tu unatuma tuma pesa tu.
"Ruzige"
Tushaingia kwenye biashara ya kuchimba Na kuozesha mchanga with my bro we have used almost 80M and no return yet though next week tunaozesha Na bado hutujakata tamaa so nishafanya risk kubwa zaidi ya hii but this is my year up to June nitawapa mrejesho.