I have been scammed 1,100$ through Forex

I have been scammed 1,100$ through Forex

Yaani we jamaa ni popoma kweli. Yaani mtu atrade on your behalf eti udeposit kwenye account yake? Au udeposit kwa broker ambaye ana red flags kubao halafu unakuja kulalamika umetapeliwa serious?

Hivi mnadhani sisi tunaotrade na brokers ambao wana review nzuri mtandaoni ni mapopom eh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu pole sana.
Nilichogundua kuhusu wewe ni kuwa.
-Una matarajio makubwa sana.
-Unapenda mafanikio ya haraka haraka.
-Unapenda shortcut.
-Unaamini sana biashara inayofanyika online.
-Ni mpambanaji sana.

Kwa mtazamo wangu, utaendelea kutapeliwa kila mara mpaka hapo utakapoanza kubadilika kuhusu hiyo mitazamo yako.
Jamaa alivyo ambiwa kuwa akiweka $2000 ndani ya siku 14 atapa 500% nafikiri alianza na kuulizia bei za Range [emoji23][emoji23]

God save us
 
That’s true

Ila kuna vitu mtu unazaliwa navyo how can u control them nikiwa chuo nishatapeliwa 4M kwasababu ya tamaa hiyo hiyo kuna vingine nilikuwa na viepuka sijajua hii ni vipi but mostly hizi zinafanywa Na Nigerian na kuna nguvu huwa wanatumia ukishaanza kuchat nao they set u coz kuna website nimepitia kuna watu wamepoteza nyingi zaidi ya hii so pia ni part of life
 
Jamaa alivyo ambiwa kuwa akiweka $2000 ndani ya siku 14 atapa 500% nafikiri alianza na kuulizia bei za Range [emoji23][emoji23]

God save us

Sio Range bro Ford Ranger Wildtrack nilishaquote Crown nikawa naidharau kabisa nikaacha kuiendesha
 
Internet scams kama hizi ni common sana, yaani unajuwa kabisa huu ni utapeli kama zile
"mimi ni mtoto wa mwanasiasa flani mkubwa, baba yangu kafa kaacha pesa nyingi nje,sijuwi alikuwa uhamishoni, natakiwa nitume pesa flani ya kulipia bima na mengineyo nitumiwe pesa yangu, Sasa naomba uwatumie pesa kiasi hicho hao jamaa kisha watakuingizia pesa hii kwako tutagawana, nitakulipa riba kubwa au tutagawana 50/50".

Ukituma ndio ishakula kwako.
Madhara ya kujifungia chumbani ndio yanafanya mtu anashindwa kujua vitu kama hivi... .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera bro japokuwa umepigwa ila wewe ni risk taker, same amount ungeweza invest mahal pengine ungekuwa na kitu angalau kidogo kama faida umepata
 
1100$ ni kama 2.5 milion ungeweza kuanzisha hata mgahawa wako mdogo amboa ungepata 20000 kama faida kwa siku

Kwa mwaka ungeweza kutengeneza milion 7.2

Vijana tubuni miradi pesa haiji hivi hivi.

Mimi uwa nawekeza kwenye vitu vidago vidogo na napiga pesa kweli nahakikisha hata kama niko kwenye majukumu mengine miradi inajiendesha yenyewe kwa simu.

Ukiwa na mighawa 5, saloon za kiume 5 pikipiki 5 na bajaji 5 kwa siku unatengeneza pesa kama laki3

Watu wanataka pesa ya chap boss,hawataki kuhustle
 
Ndugu yangu kwanini unachezea hela hivyo tena na utapeli wa FOREX? Bora ingekua business umeingia loss, hio inajulikana, ila forex?

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Kila mtu na ujinga wake ndugu sema wengine hawaongei
Ni kweli mkuu.
lakini hili kosa lako duuh umepigwa kirahsis sana, tatizo kubwa zaidi unapigwa mara ya pili kwa mtindo uleule!!
Ya kwanza nakusamehe lakini mara ya pili???
 
Achana uvivu wa kufikiri hakuna mchezo wa ku-download hela
 
Ngoja mpigwe mnapenda pesa za bila kutoa jasho, wewe nazani haurudii tena, vijana wamekuwa wapenda kamali na michezo ya kubahatisha, wazungu wanaharibu kizazi chenu mtakuwa wazee wapenda dili
 
Tushaingia kwenye biashara ya kuchimba Na kuozesha mchanga with my bro we have used almost 80M and no return yet though next week tunaozesha Na bado hutujakata tamaa so nishafanya risk kubwa zaidi ya hii but this is my year up to June nitawapa mrejesho.

Fanya biashara na kitu ulicho na passion nacho sio kujaribu jaribu tu,ukifanya business ambayo una passion nayo hutakata tamaa kirahisi,settle do your research and usipende short cut,short cut is always the wrong cut
 
Back
Top Bottom