I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I will be short

kuna theory inasema
" NOTHING IS TO BIG TO FAIL"

ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently.

so to stay in power you have to innovate and improve every single day. always stay awake.

maana una hisi watu watakuchulia kwa ukubwa wako kumbe watu wanataka kukupoteza permanently. means siku ccm ikianguka ndo basi tena nothing wil bring them back .

example
China party. they deal with economic and social factors . based on production and support local individuals. but they do so by elasticating classes and Corruption .

means mwenye hela na asie kuwa na hela wana nafasi sawa katika jamii. hii inakata shobo na chawa. means everything is for the country not for the few.

ccm wants this ila sasa they need to change the policies from leadership to priorities

issue ya sasa wana wapotezea the west comments think they are a very big party to fail . kitu awajui vyama vyote vikubwa vina pitia shida kubwa because of social media na elimu.
eg ANC South africa hali mbaya . zanu failed. Mozambique party failed .
warning :

usa and the West will be funding the opposition in the coming years. they should be worried. change the course awata amini.

innovate or fail.

2030 is coming and it will not be humble
 
Kingreza hujui unakomaa nacho tu!
CCm imechokwa ila inafosi kupendwa kwasasa, matumizi ya dola yamezidi kuongezeka hasa miaka kuanzia jiwe na zaidi huyu kilazaa wa sasa!

Huyu tuliyenaye anapendwa zaidi na wanufaika ila watz wa hali ya chini (walio wengi zaidi) hayuko nao wala hawamuelewi.
 
Umepotea Mkuu
Labda Kama Upo State Ama Umeshakatiwa Kipande Ngorongoro
 
I will be short

kuna theory inasema
" NOTHING IS TO BIG TO FAIL"

ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently.

so to stay in power you have to innovate and improve every single day. always stay awake.

maana una hisi watu watakuchulia kwa ukubwa wako kumbe watu wanataka kukupoteza permanently. means siku ccm ikianguka ndo basi tena nothing wil bring them back .

example
China party. they deal with economic and social factors . based on production and support local individuals. but they do so by elasticating classes and Corruption .

means mwenye hela na asie kuwa na hela wana nafasi sawa katika jamii. hii inakata shobo na chawa. means everything is for the country not for the few.

ccm wants this ila sasa they need to change the policies from leadership to priorities

issue ya sasa wana wapotezea the west comments think they are a very big party to fail . kitu awajui vyama vyote vikubwa vina pitia shida kubwa because of social media na elimu.
eg ANC South africa hali mbaya . zanu failed. Mozambique party failed .
warning :

usa and the West will be funding the opposition in the coming years. they should be worried. change the course awata amini.

innovate or fail.

2030 is coming and it will not be humble

Kwa hiki Kiingereza wewe ni CCM Damu kabisa. Huhitaji hata kujisema
 
Back
Top Bottom