I love Joanah (my dream woman)

nenda kwa PM yake
 
Maumivu ninayoyapata ninapoona mtu ananzishiwa akati me niko single anajua MUNGU
 
Kimekuvutia ile avatar yake au michango yake humu jf!?

Dream woman!! Hhmm!

Haya mzee kila la kheri.
 
Uko huru. Hukasiriki kirahisi. Unachukuliana na kila mtu. Unajua kujenga hoja na post zako nyingi zina kitu ndanimwe. Yaani mtu anaweza tu kukujengea taswira ya binti mmoja anayeyajua maisha sana na mwenye misimamo yake, kitu ambacho ni nadra sana siku hizi. Na tule tunote twako twa kuandika kwa mkono yaani....

You are one of a kind kweli Joanna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…