I love Joanah (my dream woman)

I love Joanah (my dream woman)

Weekend inaisha poa.

EPL sasa hivi tumeshaachana na habari za ubingwa, tunawaza unbeaten na points zaidi ya 100 ili tupite record ya City.

Ila bora bhana mmejua ubingwa wenu mapema hivi,ikifika mwisho wa ligi mtakuwa mshakinai ubingwa wenyewe so hamtasumbua kiviiiile

Hiyo unbeaten endeleeni kuwaza kwasababu haiwezekani,nyie kina nani asee?...lakini ngoja tusubiri
 
Hiyo unbeaten ombeni tu isitokee, maana tutasumbua sana mitaani.

Nitakutafutia jezi ya Liverpool tukipata unbeaten record.
 
Vp joanah kashukubali ? Au bado anafikiria.

Beggars can't be choosers
 
Hiyo unbeaten ombeni tu isitokee, maana tutasumbua sana mitaani.

Nitakutafutia jezi ya Liverpool tukipata unbeaten record.

Mungu asaidie asee isiwe hivyo!!

Jezi ya liver hata nikivalishwa nikiwa nimekufa nafufuka one time naivua halafu na-continue to RIP
 
Hahaha, umetisha sana.

Ngoja tuone nini kitatokea.

Nimeona mahali kwamba wewe ndo Da Vinci.
 
Back
Top Bottom