Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
- Thread starter
-
- #81
Pole sana kaka!hapo kuna mambo mawili ambayo kwa upande wangu nayaona,
1).Inawezekana unakatabia ka kuiba nje ya ndoa na mkeo ameshtukia ila hataki kuwa muwazi kwako o lilishakuwaga varangati na hilo likaharibu imani ya mkeo kwako,au anaambiwa maneno mengiX2 na watu kuhusu wewe kwahiyo anakuwa hakuamini.na anamulika mwizi... kwa hiyo muweke chini mkeo zungumza nae kadiri uwezavyo ktk mazingira tofautix2,muulize kwanini hakuamini,kunatatizo gani?au anasikia nini?kutoka hapo utajua shida ilipo na wewe jitahidi ubadilike na mjengee imani kwamba umebadilika na fanya hivyyo kwa matendo.
2).Inawezekana mkeo wivu ndio tabia yake,au jinsi wewe unavyojiweka karibu sana na hao gelz kunamjengea picha tofauti,inawezekana kabisa wewe ukawa na kipaji cha kuzungumza,kufurahisha na kujua jinc ya kuwahandle gels,hilo likawa linawafanya wao wajisahau km wewe ni mume wa mtu na mara zote wakawa wanahitaji uwepo wako karibu yao,km ni hivyo ndivyo cha kufanya punguza sn kuwaweka karibu,na pili wakumbushe wewe ni mume wa mtu kwa hiyo wawe makini sana na hilo na zaidi ya yote waambie kwa uwazi kuwa mkeo hapendezwi na ukaribu wenu wa kihivyooooo kwahiyo mbaki kuwa marafiki mnaotafutana linapotokea jambo la msingi tn la msingi hasa,n kwa kufanya hivyo jua kabisa wengi watapungua maana tabia yetu wadada mtu akikufurahisha kidogo unajisahau km ni m2 wa m2 na pia jiandae kwa kuchukiwa maan ktk hali ya kawaida hao wadada watakuwa na interest zaid na hiyo nature yako.
Usijali wale watakao kaa mbali na wewe kwa kuwa muwazi kwao watakuwa hawakuwa na nia njema na wewe na mkeo.jikaze na uachane nao wanajamii forum tupo kwa ajili ya kusupportiana.......cheersss...
kwanini uishi kijasusi ndani ya ndoa? kwani hao marafiki unaotembea nao kwa kujihami wanakusaidia niniAsha Dii, Smile na Rocky,
Nimewapata sana lakini mimi sifikirii kucheat coz hamna kitu nakosa kwa shemeji yenu. Na la pili ambalo kubwa ni kwamba shemeji yenu ana mbinu nyingi za kijasusi kuliko Scoland Yard hata nikijifanya james Bond najua nitadakwa.
Hehehe
Asha Dii, Smile na Rocky,

Kama kuna kitu nachukia duniani ni hicho mkuu wewe ni mume wa mtu kujifanya eti ana urafiki na maledies na kusema eti ni friends tu
kuwa natural
kuwa mwanaumme
Mkuu kuna muda wa kuchat na kuongea na hao unaowaita friends wa kike
Huwezi kusema mkeo avumilie unaongea na friends wako au watu wa kazini kwako saa nne au tano za usiku
Wanatafuta nini kwako muda huo au mnaongelea nini cha kazini au darasani saa tano za usiku
Jipange namna ya kuwaambia hao watu wako muda wanaopaswa kuongea na wewe masuala ya kazini au darasani na upate nafasi ya kukaa na mkeo muongee issue za maisha. Mkeo naona anaona humpi nafasi ya kukaa na wewe na kuongea na wewe na hao unaowaita friends umewapa nafasi kubwa sana kuliko mkeo na lazima awe na wasi wasi
Nadhani akifuata ushauri wako mambo yatamnyokea. Kuna muda wa kazini na kuna muda wa kluwa na familia.
Kha! we Smiles.....Kuwa mwanaume ni pamoja na kuwa na friends na huwezi kuchuja wa kike ubaki na wa kiume tu...utakuwa sio wa 'kawaida'
Huyo mke mbona kama 'hajiamini' hivi?
Kha! we Smiles.....Kuwa mwanaume ni pamoja na kuwa na friends na huwezi kuchuja wa kike ubaki na wa kiume tu...utakuwa sio wa 'kawaida'
Huyo mke mbona kama 'hajiamini' hivi?
kwanini uishi kijasusi ndani ya ndoa? kwani hao marafiki unaotembea nao kwa kujihami wanakusaidia nini
R' you are rite mie mzima kabisa dear...
Kwa ulosema kweli kabisa umemaliza,
ikiwa sealed na maneno ya Smile...
Mie najua mume aweza kua na marafiki wa kike
but hao marafiki kama wako genuine watakua
respective kwa privacy yake hasa inapohusiana
na kupiga simu mida ambayo si ya kazi....
Sweetie acha kumdanganya na kumchangaya Maundumula.... Wewe kuna mwanamke anachat na wewe nikiwepo karibu yako ama tukiwa faragha usiku?
Problem ni wife hataki kabisa niwe na mahusiano ya karibu na jinsia ya kike yani awe colleague wa kazini au ofisi yangu ya zamani au evening class au whatever. Napata wakati mgumu coz hata wakipiga simu inabidi nianze ku explain "who is this " , "why she is calling" ,etc na kama ni new friend na ni binti basi kasheshe kabisa.
Mkuu sidhani kama kuna sehem tumesema kuwa mtu asiwe na marafiki wa jinsia tofauti
tatizo linakuja pale unaposhindwa kuwathibiti hao marafiki wanajikuta wanachukua tena mpaka ule muda wako wa kuwa na familia yako
Yaani unajikuta badala ya kuwa na mkeo umpe na yeye nafasi ya kukusikiliz ana muongee mambo ya maisha wanauchukua tena so unabaki mpaka nyumbani nako unachat na kupigiwa simu za ofisini na the so called marafiki wa kike
Sweetie, Maundumula anajua kabisa mi naongelea ukweli.....afu mbona watu wamebase sana kwenye kuchat sijui usiku? yeye anasema kuwa na 'urafiki wa karibu' na colleagues wa kike...sasa inavoonekana mke wake hataki kabisa kusikia icho kitu....itakuwa maisha gani? LOL Hilo la simu usiku kwen faragha, linaeleweka kuwa halitakiwi, ila usiku unaanzia saa ngapi? akipiga saa moja usiku nayo itakuwa usiku? inatakiwa ajieleze kila simu anayopigiwa sweetie? hahaa
Mi nashukuru unaniruhusu kupokea simu bila kulzimika kusema zinatoka wapi,..ili mradi hazituvurugii privacy yetu...and eventually our romance lol
Alichosema Maundumula ni hiki hapa Rocky,
Sasa hebu nambie manake na wewe una mke kama mimi, do you have such a situation at home? lol
Sweetie, Maundumula anajua kabisa mi naongelea ukweli.....afu mbona watu wamebase sana kwenye kuchat sijui usiku? yeye anasema kuwa na 'urafiki wa karibu' na colleagues wa kike...sasa inavoonekana mke wake hataki kabisa kusikia icho kitu....itakuwa maisha gani? LOL Hilo la simu usiku kwen faragha, linaeleweka kuwa halitakiwi, ila usiku unaanzia saa ngapi? akipiga saa moja usiku nayo itakuwa usiku? inatakiwa ajieleze kila simu anayopigiwa sweetie? hahaa
Mi nashukuru unaniruhusu kupokea simu bila kulzimika kusema zinatoka wapi,..ili mradi hazituvurugii privacy yetu...and eventually our romance lol
Sweetie, Maundumula anajua kabisa mi naongelea ukweli.....afu mbona watu wamebase sana kwenye kuchat sijui usiku? yeye anasema kuwa na 'urafiki wa karibu' na colleagues wa kike...sasa inavoonekana mke wake hataki kabisa kusikia icho kitu....itakuwa maisha gani? LOL Hilo la simu usiku kwen faragha, linaeleweka kuwa halitakiwi, ila usiku unaanzia saa ngapi? akipiga saa moja usiku nayo itakuwa usiku? inatakiwa ajieleze kila simu anayopigiwa sweetie? hahaa
Mi nashukuru unaniruhusu kupokea simu bila kulzimika kusema zinatoka wapi,..ili mradi hazituvurugii privacy yetu...and eventually our romance lol
Kaizer,
Wewe nadhani ndio umenielewa vizuri kuliko wote.
Hizi simu haziji usiku wajameni hii simu inaweza kuwa mchana kweupee lakini inaleta noma.
Swala kama la kumsaidia friend sidhani kama inajalisha awe ni male/female coz kila mtu anapata matatizo sasa kwa system ya madame a lady friend doesnt deserve no help when in need kama anakufa ni bora akufe tu.
Sasa Smile, Asha Dii et all imagine u were my friend and in need...