nikuulize shem? kama mwanaume baba wa familia upo sebuleni na watoto na ndugu labda upo bize unachati chati hv unadhani iyo familia inakuchukuliaje? kila saa ngriiiii sms unaaza kutembeza vidole tena simu ngrrrrrrrrrrrr loh aibu bana
aah!! Kumbe nyie ni wabichi kabisa.... No wonger... "young love" lol.... So wonderful... hii ni wakati wake mkeo ataacha mwenyewe mda sio mrefu... Nitakupa number ya simu mniarifu chakula gani mwapenda... walau mfurahie siku hio.
kerren....sweetie ashadii anakusalimu...with love lol
ahahaaa yaani upo ndani ya hijabu uku unapromoti kinywaji sis ngoja malaria sugu akushike
Asante dear kwa salaam, zimefika dear!
Basi naona sweetie wako ametingwa tu siku hizi, ndo maana hatuonani! ASANTE kwa kuniamini! Nami nakuhakikishia, ukinichia will behave well..🙂
Have a blessed day dear!
Kerren....Sweetie AshaDii anakusalimu...with Love Lol
Ahsante,
Dah aisee tutakuja ,lakini beer hapana lanakum sheitwan :lol:
Watoto bado ndio tupo kwenye mchaka mchaka wa kutafuta
AshaDii,
That would be nice, i cant wait...
sema i will need to explain how i came to know this Aisha Dii girl n family so itakuwa challenge tena kuja kula mpunga hahaha
Asante Sweeti.... beat you to it thou.....lol
ulikuwa unijui? Watu hadi tumekuwa ma premium hapa hapa .smile,
nimeamini kila shetani na mbuyu wake yani watu wamekula pozi huku, dah wengine huwaoni sehemu yeyote siasa wala michezo teh teh teh
as always lol.....:tongue:
ulikuwa unijui? Watu hadi tumekuwa ma premium hapa hapa .
ulikuwa unijui? Watu hadi tumekuwa ma premium hapa hapa .
ahahaaa kumbe ndo zenu eeh kama ni hivo ngoja nianze kuchatchat na wewe shem .unaweza kunifaa siku ya jua kali hapa mjinilol malaria inatibika na haiukubaliki. Ingekuwa ugonjwa mwingine sawa....:a s-coffee:
sasa mimi 3000 hebu cheki za mke wa mtu hapo asha dii ngapi?ndio naona hapa, aisee posts 3000? U r the best
kanikataa jamani? Kasema mkewe ameinvest kwenye silaha kama korea kaskazinismile...ivi umeomba kuwa 'nyumba ndogo' yake......?:a s-coffee:
No wonder ana muda kusikiliza kila simu, na kukagua marafiki zako wote wa kike....changamka
Huwa inaudhi mbaya sana
Na uko kati kati ya mazungumzo muhimu au mkeo anakuambia jambo la muhimu
Unajua tena hata radhi humuombi unaendelea na kupokea simu au kutuma sms as if hayuko pale