i love u so much please understand me

we labtec hujui maisha y ndoa ndiyo maana, unaachia achia moyo wako bila umakini!sasa angekuoa,just honey moon,akakuacha na kwenda kucheat na wenzio ungefanyaje?wait,upate ambaye anakupnda bila utani!marriage is not a scene ya tamthiliya!
 
babu yangu mchunie Rogie yupo busy na wajukuu, huyu wa humu ndani leo nimekwama kushauri, akili imestuck!

Rafiki wakwe zangu hawajambo? Itabidi tuwakutanishe faster kabla hawajazugwa huku JF, au unasemaje?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ukisusa wenzio wala, njoo nikukune hicho kidonda kinachokuwasha lol..; raha ya kidonda ipate mkunaji..(
 

Mhhhh! Pole sana kwa yaliyokukuta.

 
Last edited by a moderator:
Hua nasema mara kibao hapa.
msingi wa mapenzi siku zote ni hisia. lakini kamwe hatutakiwi kuziacha
hisia zikakontrol gurudumu la mapenzi kwa 100%. ungeapply akili apa
wala usingejikuta huku.
haya ndo matatizo yale sasa.
 
kuwa mwangalifu dunia hii usiwe unaruhusu moyo wako kupenda kilahisi kama hivyo.
 
Nyie Mijibaba, muache hizi tabia mbaya za kutongoza tongoza!!, Hamuoni haya,, hata wanaovunja ungo pia....... Laaaahhh ni lana gani hiiiii Majogoo mazee yasiokuwa na ADABUU NYOOOOO!!!!!. Tutaanza kuwa MUUULIKA HUMU
 
hii ni zaidi ya hatari..
Yaani ukasave avatar yake kwenye screen yako
Yaani ukamtumia Picha yeye akagoma kukutumia..
Ila mbaya huyo kaka
kwanini akuombe mpaka account ya FB harafu yake akatae kukupa
Ooops JF ni zaidi ya vile tunavyodhani
Sasa Shost yaani mtu anakuumiza ambaya humfahamu ..avatar tu...atakuwa jini mahaba huyo am kidding :israel:

Ngoja nikajipatie update za Dr U...
 
start new page,and forget all about him.
 
Ashawahi kukutumia picha yoyote then haukuamini kama ndo picha yake?
 
:biggrin1: nimecheka pale aliposema usiku akilala anamuota wakati hata kumuona kwa sura hamjui, hivi kweli can u fall in love with a screen saver?
 

teh teh Jestina kama yule jamaa aliyemtongoza demu alipokubaliwa akasema nilikuwa nakutania tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kanionea CUTE kwen hii sredi?

ahsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, poleeeeeee.n Hii ndio JF bwana, be careful
Ila ningeomba unipe ID yaken, Maana na mimi nina matatizo
Usiku sometimes sipati usingizi :yawn:
 
Hahahaha, poleeeeeee.n Hii ndio JF bwana, be careful
Ila ningeomba unipe ID yaken, Maana na mimi nina matatizo
Usiku sometimes sipati usingizi :yawn:
Pole sana Mwali,mi kuna moja amenitumia picha zake,nimemtumia zangu ila haimini kama ni mimi na ameninunia
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mwali,mi kuna moja amenitumia picha zake,nimemtumia zangu ila haimini kama ni mimi na ameninunia
Hahahaha, kama ulimtumia picha umekaa kama model
na yeye alidhani unamfanana kingwendu, sasa ulitakaje?
Akiendelea kuubisha mwambie aniulize mimi nimthibitishie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…